Waziri wa vijana na michezo afungua shuguli za siku ya vijana ulimwenguni kupitia mikutano ya video

Dokta Ashraf Sobhy :


*Shida ya Corona ilionesha ubunifu kwa vijana ili kupambana na msimamo huu ...mipango na miradi kadhaa iliyotekelezwa na wizara  wakati wa msiba huo kupitia mikutano ya video .


*Tunatulia umuhimu juu ya ushirkiano na mashirka tofauti kwa uwekezaji katika vijana na kupatikana  mazingira yanayowasaidia .


Asubuhi ya leo, Jumatano, Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo amefungua matokeo ya siku vijana ulimwenguni mnamo mwaka 2020, inayofanyikwa kwa ushirkiano na idadi ya mashirika na taasisi za Umoja za Mataifa nchini Misri mnamo muda 12_13 Agosti hii ,kupitia  mikutano ya video, ili kuzungumzia faili kadhaa zinazohusiana na masuala tofauti ya vijana .


Pia Chiristina Albtren, Mratibu kwa Umoja wa Mataifa nchini Misri ,Germa Hdad, Mwakilishi msaidizi kwa Sanduku la Umoja wa Mataifa kwa wakazi nchini Misri ,na kundi la vijana kutoka nchi tofauti walishirki katika ufunguzi wa shughuli zile .



Dokta Ashraf Sobhy, katika hotuba yake alieleza uangalifu wa serkali ya kimisri na Wizara ya vijana na michezo kwa vijana katika pande zote za Jamhuri ,na kutolewa msaada na uangalifu kwao chini ya maagizo ya uongozi wa kisasa kwa uongozi wa Rais Abd El Fatah El_Sisi, Rais wa Jamhuri anayesistiza kuwa kujiamini kwake kwa vijana ni kubwa sana , akiashiria kwa makongamano na mikutano pamoja  na vijana, yaliyofanyikwa kwa uangalifu na mahudhurio ya Rais kwa upande wa ndani na kimataifa,yalikuwa kwa ajili ya kujua maoni ya vijana na kuwapa kujiamini katika wenyewe ili kushiriki katika jamii kwa uwezo wao .



Waziri wa vijana  aliongeza kuwa Misri  kama nchi zote za ulimwengu imepambana na hali za kipekee kutokana na janga la virusi vipya vya Corona na vijana wamisri wamethibitisha uwezo wake katika kuishi katika hali halisi na kupambana na changamoto,basi tumepata ubunifu kwa vijana ,na mipango mizuri ili kulinda jamii kutoka athari na matokeo ya virusi vya Corona kwa pande za kiafya ,kijamii na kiuchumi .


 Katika muktadha huo ,Dokta Ashraf Sobhy aliashiria kuwa Wizara ya vijana na michezo ,kupitia mgogoro wa Corona imetekeleza mipango mingi na miradi tofauti kupitia  mikutano ya video ,kwa mujibu wa matokeo na mabadiliko yanayotokea kutokana na shida hiyo ,chini ya mabadiliko ya dijiti kwa shughuli na mipango ya Wizara .



Waziri wa vijana alieleza kwamba kulingana na mtazamo na mfumo wa uongozi wa kisiasa , Wizara ya vijana na michezo imeweka mihimili ya kimkakati ili kufanya kazi pamoja na vijana, inayowakilishwa katika  "kuweka siasa na mipango ya utekelezaji inayotosha ili kujihusisha  vijana na kuhimiza ushiriki wao katika maisha ya kisiasa ,kijamii ,na kiutamduni ,kuandaa mipango ili kuhamsisha vijana ,kuwawezesha ,kuwekeza nguvu zao ,kuwaangalia vijana , kuwawezesha ,kuboresha vipawa vyao na uwezo wao ,kuboresha vipindi vya mawasiliano na vijana ,na kuandaa mipango ya kazi na mashirika ya vijana" .



Dokta Ashraf Sobhy aligundua kinachohusu programu ya kipindi cha kitaifa kwa vijana  kinachojumisha harkati zote za serkali zinazohusiana na vijana katika mraba wa kuweka ramani kamili kwa kazi ya vijana kupitia uratibu kamili wa kiserkali , akiashiria hivi karbuni itamalizka kutoka maelezo yote yanayohusiana kwa kipindi hiki na kuyatangaza .



Waziri wa vijana na michezo alisistiza kuwa wizara inatoa misaada ,mchango na ushirkiano pamoja na mashirika yote na taasisi za Umoja wa Mataifa zinazoshiriki katika matokeo ya siku ya vijana ulimwenguni,  ili kushirikiana  kwa ajili ya uwekezaji katika vijana na kupatikana mazingira yanayowasaidia ,akitoa shukurani na heshima kwa mashirika yote na taasisi za kimataifa zinazoshiriki katika sherehe .



Pia Sanduku la Umoja wa Mataifa kwa wakazi , Shirika la UNICEF ,mpango wa maendeleo wa Umoja wa Mataifa , Shirika la Kazi la kimataifa , Shirika la Afya Duniani  , Shirika la Uhamiaji la kimataifa , Shirika la UNESCO , Kamishna kuu hushiriki katika kuandaa siku ya  vijana ulimwenguni ,na matokeo yanajumuisha kundi tofauti kutoka vikao vya mazungumzo kuhusu changamoto za kisasa ,njia za kupanga familia ,mipango ya vijana wakati wa virusi vya Corona ,halifu za kielektroniki na mihimili mingine .


Comments