Tambulisha njia ya kumwakilisha mwingine ili kupokea tiketi ya kombe la mataifa ya Afrika.

 Kampuni ya "Tiketi yangu" ilitoa habari ya kutumika nidhamu ya "Tiketi yangu" kwenye intaneti ili kupata kadi la kushangilia na kununua Tiketi za michezo ya kombe la mataifa ya kiafrika TOTAL 2019,na hayo kupitia kuwasiliana na mtandao wa intaneti wa kimataifa, na mfumo huo unatumia teknolojia na mifumo ya kununua ya kielektroniki za kisasa.  

Tovuti ya "tiketi yangu" ilisisitiza kwamba yeyote anaweza kumwakilisha mwingine ili kupokea kadi la kushangilia kwako kutoka mahali maalumu pa kutoa huduma sawa na mtu huyu ni maarufu au hapana.

Na hayo hufanyika kupitia hatua kadhaa nazo ni :

1- ingia tovuti kisha ingia kontua binafsi.

2- bonyeza kumwakilisha rafiki kwa kupokea.

3- ainisha njia itakayotumiwa ili kumjua mtu huyu sawa ikiwa kitambulisho chake na jina,  au namba ya shabiki kisha ingiza taarifa zinazohitajika.

4- bonyeza kuwakilisha.

Comments