Jana jioni ,mjini mwa vijana na michezo mjini Al-Asmarat , sambamba na kujaribu kwa mji , uliofunguliwa na Rais Abd El-Fatah El Sisi mnamo 30 Juni iliyopita,
Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo alishuhudia sherehe ambyo imeshaiandaliwa na wizara kwa mnasaba wa sherehe ya siku ya vijana ulimwenguni kwa vijana chini ya nembo ya "Ushiriki wa vijana kwa ajili ya kuhamsisha kwa kazi ya dunia ".
Idadi ya wakuu wa mashirkisho ya kimchezo tofauti ,wakilishi wengi wa makundi ya vijana ,kamati za kimchezo katika klabu ,wakilishi wa bunge la Al Talaee ,viongozi wa Wizara ya vijana na michezo walihudhuria sherehe hiyo.
Katika hotuba yake ,Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo alitoa shukrani kwa Rais Abd El-Fatah El Sisi juu ya usaidizi wake kwa vijana katika nyanja na wakati wote ,akisifu blogi ya Rais kwa vijana katika sherehe ya siku ya vijana ulimwenguni ,akisistiza kuwa blogi hii ni ujumbe kwa vijana wa ulimwengu kutoka vijana wamisri kwa heshima ya uongozi wa kisiasa kwa jukumu la vijana katika kuhakikisha maendeleo kwa nchi zao .
Dokta Ashraf Sobhy alisistiza kuwa Wizara ya vijana na michezo inatoa uangalifu kubwa kwa vijana katika pande zote za Jamhuri ,na inahangaika kutoa usaidizi na uangalifu wao juu ya viwango vyote ,kupitia upatikanji wa nafasi kubwa ili kucheza michezo na kupanuka sehemu ya michezo kwa watu ,chini ya maagizo ya uongozi wa kisiasa .
Waziri wa vijana aliongeza kuwa kuwepo kwa Rais kwa kufunguliwa mji wa vijana na michezo mjini Alasmarat ,kunaonesha imani yake kwa jukumu la mji ambao unashikilia mfano mzuri kwa mchakato wa maendeleo kamili wakati wa shughuli za kimchezo ,kiutamaduni ,kiufundi , kijamii zinazoandaliwa ili kujenga mfumo kamili kwa wana wake .
Na pempezoni mwa sherehe , Waziri wa vijana na michezo ameangalia mji wa vijana na kimchezo mjini Alasmarat ili kufuata shughuli mashahuri zaidi zinazofanyikwa mjini ,na maoni ya watu kwake ,kuangalia kwa kazi ,kufuata kwa uendeshaji wa jarbio kwa mji ,pia kutafutia onesho la kazi za mikono kwa wadogo na walemavu, linalofanyikwa pamoja na sherehe .
Pia wakati wa sherehe ,Bendi ya Wizara ya vijana na michezo kwa uongozi wa Dokta Ezz El Din Taha ilitoa kundi la vipindi vya nyimbo pamoja na hatua za tahadhari zinazofuatwa kwa kinga kutoka kwa Virusi vipya vya Corona.
Comments