Sobhy akutana na viongozi wa mashirikisho ya michezo tofauti kujadili kufanya michuano mikubwa inayojumuisha Mashirikisho ya vijana na ya michezo
- 2020-08-17 12:35:41
Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo amekutana na viongozi wa mashirikisho ya michezo ya jinsia tofauti ili kuonesha mafanikio yao katika kipindi cha nyuma na mipango ya siku za usoni , pamoja na kujadiliana juu ya kupanga michuano mikubwa inayojumuisha Mashirikisho yote ya michezo na vijana na hivyo jioni ya leo , mjini mwa vijana na michezo katika eneo la Elasmarat , kwa mahudhurio ya Dokta Ahmed Elsheikh mkuu wa idara kuu ya mambo ya Waziri , na Mohi Bader mkurugenzi mtendaji wa Shirikisho la Mashirikisho ya michezo , Mahmoudd Abd El Aziz mkurugenzi mkuu wa idara kuu ya Mashirikisho ya shirikisho la jinsia tofauti na kamati za michezo .
Mkutano huo ulikuwa pamoja na mahudhurio ya viongozi wa mashirikisho ya " michezo kwa wote " kwa uongozi wa Dokta Emad Elbanani , Shirikisho la makampuni kwa uongozi wa Hussny Ghander , Shirikisho la michezo la vyuo kwa uongozi wa naibu wa kwanza " Dokta Sobhy Hasanen " , michezo ya kielektroniki kwa uongozi wa Sherif Abd El qader , Urambazaji wa michezo kwa uongozi wa kamanda Munes Abuof , Shirikisho la michezo la shule kwa uongozi wa Dokta Eman Hassan naibu wa mkuu wa Shirikisho , Dokta Maged Elazazy mkuu wa baraza la usimamizi wa Shirikisho kuu kwa vituo vya vijana wa Misri na wawakilishi wa shirikisho la vijana wa wafanyakazi.
Waziri wa vijana na michezo alijadili mpango wa mashirikisho ya kipindi kijacho na alisisitiza kuwasiliana na tabaka zote za raia wa Misri kupitia programu na shughuli zinzotangazwa moja kwa moja kupitia lango la Misri kwa vijana na michezo , mtandao wa You tube , akisifu jukumu la Shirikisho la Mashirikisho ya jinsia tofauti katika kuunganisha na kuambatana kati ya mashirikisho yote ya jinsia tofauti , kufuatilia kazi za mashirikisho ya jinsia tofauti na mafanikio na kuendeleza shughuli zinazotolewa na mashirikisho kwa ushirikiano na Wizara ya vijana na michezo .
Mkutano uligusa pia suala la mabadiliko ya dijiti katika sekta ya michezo ndani ya taasisi za vijana na michezo kupitia kuunda takwimu kwa wachezaji na wanachama kupitia ushirikiano na wizara ya mawasiliano , pamoja na kuanzisha maonesho kwa miradi ya kuhitimu kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ndani mojawapo ya majengo yanayohusiana na Wizara ya vijana na michezo, ambayo inatilia maanani ujasiriamali katika sekta ya michezo
Comments