Waziri wa michezo azuru mahali pa kufanyika kura ya kombe la dunia kwa mpira wa mikono 2021

Jumapili Asubuhi ,Dokta Ashraf Sobhy alifanya matembezi huko mahali panapopendekza kwa kufanyika sherehe za kura ya kombe la dunia kwa mpira wa mikono 2021, ambayo imeamuliwa kuitekelezwa katika hoteli ya Mina Haws Elharm mnamo  Septemba ijayo .


Misri inakarbisha michuano ya dunia kwa mpira wa mikono mnamo 2021 mnamo Januari ijayo kwa ushiriki wa timu 32 kutoka nchi tofauti za ulimwengu ,matokeo ya michuano yanafanyikwa katika kumbi nne za kufunikwa nazo ni (ukumbi uliofunikwa katika uwanja wa Kairo ,ukumbi uliofunikwa mjini sita Oktoba ,ukumbi uliofunikwa mjini mkuu mpya wa kiuongozi na ukumbi uliofunikwa katika Borg Alarab mjini Aleskandaria. 


Pia wajumbe wa kamati iandaayo kwa michuano,wakiongozwa na  mhandisi Hesham Nasr Mwenyekiti wa kamati iandaayo,Mkuu wa Shirikisho la kimisri kwa mpira wa mikono ,Dokta Ahmed Elshikh Mwenyekiti wa kamati ya mawasiliano ya kiserkali kwenye kamati iandaayo ,idadi za wakuu wa kamati ndogo ,kundi la viongozi watendaji ,wakuu wa kampuni mbili za (Prezentation ,Tazkarty ) wote walikuwa waliambatana na Waziri wakati wa ziara yake katika mahali pa kufanyikwa kura ya kombe la dunia .


Dokta Ashraf Sobhy aliangakia mpango wa awali kwa sherehe ya kura ,njia za kuingia kwa sherehe ,mahali pa kukaa kwa wahusika wakubwa ,watangazaji na programu inayopendekza kwa vipindi vya sherehe ya kura .


Waziri wa vijana na michezo aliashiria kwa kufuata kwa njia daima na kamati iandaayo ,ili kusimamia  vifaa vya mambo yanayohusu mratibu na hatua za kiuongozi kuhusu mambo yanayohusiana na sherehe za kura kwa kombe la dunia kwa mpira wa mikono ,sherehe mbili za ufunguzi na mwisho ,pamoja na maandalizi yanayohusu kumbi zinazofunikwa na vifaa vyake ili kukarbisha mashindano ya michuano .


Dokta Ashraf Sobhy alisema :"Tunataka kuhakikisha mafanikio mazuri kwa michuano juu ya viwango tofauti vya kiufundi ,kiidara kulingana na vitu ambavyo Misri inavisifiwa kama mifumo ya mafanikio kutoka ujuzi ,kutosheleza miundombinu ya kimchezo ,vyombo vya safiri ,hoteli za kukaa ,Viwanja vya ndege vya kimtaifa ,vivutio vya kiutalii ,mifumo ya Usalama na Amani ambazo nchi zinashuhudia chini ya uongozi wa Rais Abd El-Fatah El Sisi, Rais wa Jamhuri anayetoa  misaada yote na uhamsishaji kwa michezo ya kimisri". 


Waziri wa vijana na michezo aliendelea :"Sasa hivi hufanyikwa mikutano kadhaa na kamati ndogo kwa kamati iandaayo ,ili kuangalia vitu vipya vya mwisho vya kamati ,kukidhi maombi na mahitaji ,kumaliza hatua zote  Kufikia kombe la dunia kwa mpira wa mikono kwa wanaume wa Misri mnamo 2021, na hatua hizi zitatimiza  pamoja na uratibu na shirkisho la kimtaifa kwa mpira wa mikono chini ya uongozi wa Dokta Hassan Mustafa kwa kusisitiza juu ya maandalizi ya Misri ili kukarbisha kwa michuano mnamo Januari ijayo" .

Comments