Waziri wa vijana na michezo ya kimisri ajadili pamoja na wasaidizi wake mradi wa kuanzisha kituo cha kimchezo cha kimisri nchini Tanzania
- 2020-08-19 10:54:05
Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo alijadili vitu vipya vya mwisho vya uzinduzi wa mradi wa kitaifa kwa watu wenye vipaji vya Boga ( skwoshi ) katika kituo cha vijana wa Jazira ,mji wa kimchezo mjini Port Said na klabu na vitu hivi kupitia mkutano uliofanyikwa leo naye pamoja na wasaidizi wake na viongozi wa Wizara .
Sobhy alisistiza kuwa mradi wa kitaifa kwa watu wenye vipaji vya Boga ( skwoshi ) . kwa ushirikiano na benki ya Alahly na kimisri ,inazingatia hatua ya kwanza ya aina yake katika miradi ya kitaifa ili kugundua vipaji vya kimchezo chini ya maagizo ya uongozi wa kisiasa kwa uangalifu wa watu wenye vipaji kwenye Jamhuri na kwa imani kwa umuhimu wa kuongeza kiwango cha mchezo kwa vijana .
Sobhy alieleza kuwa mradi utaenea katika vituo vyote vya vijana wa Jamhuri katika awamu zijazo baada ya kuja kukubwa uliofanyikwa wakati wa ufunguzi wa awamu kwa wachezaji 115 katika kituo cha vijana wa Jazira mjini Kairo na wachezaji 185 mjini mwa kimchezo Port Said ,mradi unajumuisha ushiriki wa wazaliwa wa 2012,2013 ,2014 ,kama hatua ya kwanza ili kueneza fikra juu ya vituo vyote vya vijana wa Misri kwa lengo la kuenea michezo , akiashiria kuanishwa 20 % kutoka wachezaji katika kituo cha wana wa vikosi vya kijeshi ,polisi na mayatima .
Waziri alijadili kupitia mkutano vitu vipya vya mwisho vya mradi wa kuanzisha kituo cha kimchezo na kimisri huko Tanzania kama hatua ya kwanza nchini mwa Afrika , akizungumzia maendeleo ya mwisho ya kujiunga kwa mpango wa shirkisho la kimchezo kwa vyuo vikuu na mpango wa wizara ya vijana na michezo ,maandlizi ya kuandaa tamasha la kimchezo mjini Alalameen .
Pia Sobhy aliashiria kuandaa siku ya kimchezo kwa wachezaji wa mradi wa kitaifa ili kugundua vipaji vya mpira wa mguu (Star Of Egypt) katika klabu ya Elnadi ,pia aliomba kuweka wakati wa mkutano na shirka la Micro Soft kuhusu kutafutia njia za ubadilishaji wa dijiti kwa Wizara ya vijana na michezo .
Sobhy aliashiria kuwa Wizara inatia saini protokoli ya ushirkiano na Wizara ya maendeleo ya kindani kuhusu kuweka mahali kwa Baiskeli katika miji mipya pamoja na uratibu na Wizara zote ili kuweka gereji kwa Baiskeli na watu wanaokuja wizara ,ili kueneza utamaduni wa kucheza michezo na kulinda afya na mchezo wa raia kwa mujibu wa maagizo ya Rais Abd El-Fatah El Sisi.
Comments