Mnamo Historia .. uwanja wa piramidi za Giza hupokea sherehe ya kupiga kura ya Misri 2021

Uwanja wa piramidi za Giza unapokea sherehe ya kupiga kura ya michuano ya dunia kwa wachezaji wanaume wa mpira wa mikono - Misri 2021 , mnamo tarehe 5 Septemba ijayo kwa mujibu wa tovuti rasmi ya michuano  .


 Kupitia kuangalia Historia , timu 30 zimefikia michuano  na timu mbili zitaanishwa baadaye, huwajua  washindani wao katika michuano itakayoanza tarehe 13 Januari ijayo na itakaendelea hadi 31 mnamo mwezi huo huo .


Kamati iandaayo ilitembelea mahali pa kufanya kura ambapo panajulikana na kuwepo kwake katika eneo la piramidi ambapo panazungushwa na eneo  kale na juu yake moja kwa moja maajabu saba ya Dunia kama ishara ya mwanzo wa ustaarabu wa kimisri .


Ziara hiyo ilihudhuriwa na Dokta Asharf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo , idadi kutoka viongozi wa wizara , kamati iandaayo kwa uongozi wa Mhandisi Hisham Nasr , Tarek Eldeb Naibu wa mkurugenzi wa michuano , Moemen Safaa  mweka hazina wa  shirikisho la kimisri la mpira wa mikono na viongozi kadhaa wa kamati ndogo na kampuni iandaayo ya sherehe ya kura .


Sobhy alisema : " tunaazimia kufikia mafanikio mazuri kwa michwano katika pande zote za kimaandalizi , kiufundi na usimamizi kutokana na kinachojipambanuliwa na Misri kutoka vipengele vya mafanikio kutoka ujuzi wa kuandaa , kupatikana miundombinu  za kimichezo , usafirishaji , hoteli za malazi , viwanja vya ndege vya kimataifa , vivutio y kitalii , njia za usalama na utulivu unaokumba nchi chini ya uongozi wa  Mheshimiwa Rais Abd El-Fatah El SiSi, Rais wa Jamuhuri anayetoa uungaji mkono na msaada kwa michezo ya Misri.


Aliongeza " sasa hivi mikutano hufanyikwa  pamoja na kamati ndogo kwa Kamati iandaayo kutazama matokeo ya mwisho  ya kamati hizo kila mmoja katika mambo yake , kutosheleza matakwa na  mahitaji na kukamilisha taratibu zote kwa mtazamo wa kufikia utayari kamili kwa michuano na hivyo inafanyika bega kwa bega kwa kuambatana na Shirikisho la kimataifa la mpira wa mikono kwa uongozi wa Dokta Hassan Mustafa ili kuhakikisha kuwa  Misri inajiandaa kukaribisha michuano mnamo Januari ijayo  "   .


Misri inakaribisha michuano ya dunia kwa wanaume wa mpira wa mikono kwa mara ya pili katika historia na  mfumo wa mashindano unatofautiana na mashirikiano yaliyotangulia baada ya idara ya timu iliongezeka kuanzia 24 hadi 32 kwa mara ya katika historia .


Timu 32 zimegawanywa kwa makundi 8 na kila moja linajumuisha timu 4 ili kupitisha timu tatu za awali kwa duru ya msingi inayohusisha timu 24 za kitaifa  , na zimegawanywa kwa makundi 4 kila moja linajumuisha timu 6 ili kupitisha  ya kwanza na  ya pili kwa robo Fainali .


Comments