Nyota wa timu yetu za kitaifa ya Misri wafanya mazoezi yao kwenye uwanja wa mazoezi katika kambi ya Hurghada, kaika mfumo wa maandalizi ya “mafarao” kwa michuano ya dunia

katika mfumo wa programu yake  ya mazoezi kwenye kambi ya mji wa Hurghada, Nyota wa timu yetu ya kwanza ya Misri ya kiume ya mpira wa mikono walifanya mazoezi yao chini ya uongozi wa Meneja wa kihispania “Roberto Garcia Barondo”, Kocha wa timu yetu ya kimataifa ili kuandaa michuano ya dunia kwa wachezaji wa kiume wa mpira wa mikono, utakaokaribishwa na Misri mnamo januari 2021.


Orodha ya wachezaji wa timu ya Misri waliopo kambini, isipokuwa wachezaji wa taalamu inajumuisha:


Makipa: Muhammad Ali – Mohamed Essam Al-tayyar - Abdulrahman Hamid.


Mzunguko: Wissam Nawar - Ibrahim Al-Masry - Khaled Walid - Ahmed Adel.


Beki wa kulia: Ahmed Al-Ahmar - Mohsen Ramadan - Mustafa Bashir.


Beki ya kushoto: Yahya Al Daraa - Hassan Walid - Abdul Rahman Faisal - Omar Yassin.


Mrengo wa kulia: Akram Yousry - Omar Sami.


Mrengo wa kushoto: Omar Al-Wakeel - Ahmed Moumen.


Wachezaji bora : Ahmed Khairy - Islam Hassan - Saif Al Daraa

Comments