Waziri Mkuu atoa ishara ya kuanza kwa uzinduzi wa tukio la kwanza la kimchezo mjini mpya mwa Alalameen

Jumatano jioni, Dokta Mustafa Mdboly Waziri Mkuu alitoa ishara ya kuanza kwa  tukio la kwanza la kimchezo linafanyawa mjini mpya mwa Alalameen ,ambalo limezinduliwa mbele ya makao makuu ya baraza la mawaziri mjini ,mpaka eneo la viwanja juu ya nile kwa mahudhurio ya idadi ya mawaziri na vijana .


Waziri Mkuu alishiriki katika mbio za Baiskeli kisha mpira wa kuruka na Soka .


Waziri Mkuu alisema kuwa kufanyawa tukio hili la kimchezo mjini mpya mwa Alalmeen kuna malengo kadhaa ,kwa upande wake unatumia ujumbe kwa raia wa kimisri kwa umuhimu wa kucheza michezo ,kwani una jukumu muhimu katika kuhifadhi  Afya ,na kuepuka maambukizi kwa maradhi hatari ,pamoja na unasaidia  kupunguza uzito ,na kuhamsisha mtu kufanya kazi zaidi ,kwa upande mwingine tukio hili la kimchezo linasaidia mchakato wa kuvutia kiutalii ,pia unashughulika kwa miradi ya kitaifa ambayo nchi inafanya juu ya kuitekeleza mjini mpya mwa Alalmeen .


Dokta Mustafa Madbouly aliongeza kuwa Rais Abd El-Fatah El Sisi anachukua umuhimu mkubwa ili kusukuma vijana kuelekea kuendelea kucheza michezo ,akiashyeria kuwa mpango wa serkali inategmea katika mkakati wake ili kujenga mtu wa kimisri juu ya mhimili wa mchezo pamoja na mihamili ya elimu na afya .


Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo alieleza kuwa tukio hili linajumuisha mashindano :(Michezo ni kwa wote )na imeitekelezwa na Shirkisho la kimisri kwa mchezo kwa wote ,na " mbio za Baiskeli  ,mpira wa wavu ya pwani , Soka ya khomasi ya pwani ,mpira wa kasi ,(street work out ".


Waziri wa vijana wa michezo alisifu  juhudi na maandalizi ambayo yalifanyawa na idara ya kati kwa maendeleo ya kimchezo iliyosimamia kutekeleza tukio na pia kuandaa tamasha la kimchezo ambalo lina jukumu kubwa katika kunakili picha ya kweli kuhusu kiwango cha mafanikio ya nchi ya kimisri mjini mpya mwa Alalmeen .


Pia mji mpya wa Alalmeen ulishuhudia pempezoni mwa tukio la kimchezo uzinduzi wa matokeo ya michuano ya Jamhuri kwa mashirika katika toleo lake namba 53 na mara ya kwanza kutoka mji kwa ushiriki wa zaidi ya wachezaji elfu 15 ,wanaowakilishi idadi za kampuni ,viwanda na sekta za serkali na binafsi .


Comments