Waziri wa Michezo anapongeza Mohamed Salah kwa kushinda Ligi ya Mabingwa wa Ulaya


Dokta  Ashraf Sobhy,  Waziri wa Vijana na Michezo amepongeza Mohamed Salah, mchezaji wa kimisri na Liverpool, baada ya kushinda Ligi ya Mabingwa wa Ulaya , Katika mechi  iliyokusanya Liverpool na Tottenham Hotspur na kumalizika na ushindi wa Liverpool kwa  goli 2  , na Salah alifunga goli la kutangulia  kutoka planti katika nusu ya kwanza.


 Sobhy alieleza furaha yake na nyota Mohammed Salah kutoka ngazi ya sifa kumfanya awe mmoja wa wachezaji bora zaidi duniani, akiashiria  kwamba Salah ndiye balozi bora kwa Misri barani Ulaya, na  picha  nzuri kwa vijana wa Misri  nje ya nchi

Comments