Sobhy : Orodha hii ya kuhudhuria mashabiki katika kombe la dunia kwa mpira wa mikono nchini Misri 2021
- 2020-08-29 19:16:55
Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo alisistiza kuwa Misri inaandaa vizuri katika mchakato wa kuandaa kwa toleo la 27 kutoka michuano ya dunia kwa wanaume wa mpira wa mikono wa Misri 2021 .
Sobhy alielezea tovuti rasmi kwa michuano kuhusu maandalizi ya Misri kabla miezi michache kutoka uzinduzi wa michuano akisema :(jambo hili linafanyika na shirika kubwa linalotegemea usaidizi usio na mipaka kutoka viongozi wa kisasa chini ya uongozi wa Rais Abd El-Fatah El-Sisi ,na usaidizi kamili kutoka Waziri Mkuu Dokta Mustsfa Madbouly hasa kuwa Waziri Mkuu ni Rais wa kamati ya juu inayoandaliwa kwa michuano ambao nijivunia kurudia tena kwa ushiriki wa kundi la mawaziri ambao hawakataa kutolewa aina zote za usaidizi kwa maandalizi haya ili kukarbisha tukio kubwa zaidi la kimchezo ambayo ulimwengu inashuhudia mnamo muda ijayo .
Maandalizi ya kumbi zinazokaribisha michuano
Aliandelea (jambo hili linaonesha umuhimu wa kuandaa .
Hatujaanza kufanya katika kumbi isipokuwa katika mwisho mwaka 2018 ,na jambo hili halikuwa rahisi kwani tulijenga majengo matatu mapya pamoja na uboreshaji wa ukumbi wa uwanja wa Kairo ,kwa gharama kamili paundi za kimisri bilioni 3.5 , karibu na viti 34000 katika kumbi zote ,na mpango mzuri ,maandalizi na misaada ya pesa na juhudi kubwa kwa vikosi vya kijeshi na shirika la kiuhandisi , mashirika ya sekta binafsi ,tumemaliza kiasi kwamba 88 % kutoka kazi .kumbi hizo ni kitu muhuimu sana kwa vizazi watakaokuja ,pia kumbi za uwanja wa Kairo zilizoanzishwa mnamo 1991 .
Sobhy alisistiza :"Nataka kusifu juhudi zote zilizofanywa katika njia za uboreshaji katika shirika la mpira wa mikono wa kimisri na mwanzoni mwa juhudi hizi Dokta Hassan Mustafa mwenyekiti wa shirkisho la kimtaifa kwa mpira wa mikono kwa jukumu lake,juhudi inayoendelea katika usaidizi na uboreshaji na mchango wake katika kufikisha shirika la mpira wa mikono wa kimisri kwa viwango vya kidunia kwa kiufundi na kiidara pia shirkisho la kimisri kwa mpira wa mikono chini ya uongozi wa mhandisi Hesham Nasr ,kamati iandaayo michuano ,mkurgunzi wa michuano kocha Hussen Labib ,timu ya kazi ,wataalam wote katika kazi ya kuandaa .
Tunataka kuweka kitu kikubwa sana katika michuano hii ,na kuhakiksha mtazamo wa uongozi wa kisiasa .
Mchezo ni njia muhimu kwa afya ,na athari yake ni kubwa juu ya pande muhimu za kitabia katika kukua wachipukizi ,michuano mikubwa ni muhimu sana kutoka upande wa kupanuka, basi ni chanzo bora zaidi kwa aina ya kimchezo na hapa tunazungumzia mpira wa mikono ,ikiwa maandalizi ,kiwango na matokeo yapo kwenye kiwango cha juu , hivyo inawezesha sekta kubwa kutoka vijana ili kucheza michezo, wakitamani kuiwakilisha timu ya Misri siku moja ."
Aliendelea " pia mapokezi haya , mapokezi ya michuano kwa jumla ni muhimu ili kueneza maana ya kimchezo pamoja na vitu vyake vyote na kutoa picha kwa ulimwengu wote kuhusu kuboresha kwa mchezo nchini Misri ,na umbo la miundmbinu yake ."
Kufanya kazi wakati wa Janga la Corona
Sobhy alieleza kuwa " Mnamo miaka miwili kutoka kazi ,tuliona hali ngumu kwa sababu ya Janga la Corona ,lakini kazi haisimamishwi kwa fadhila ya vikosi vya kijeshi kupitia shirika la uhandisi na pia mashirika binafsi ,na jukumu kubwa kwa nchi ya kimisri kuanza kwa uongozi wa kisiasa na serkali ili kutendana na suala hili .
Upande wa kimchezo tuliweka kadi ili kuanzisha harakati .
Hatujaahrisha michuano na tupo mnamo Januari ijayo ili kuifanywa ,hatua za kitahadhari zitakuwa nzuri na tunatumai kuwa Misri na Dunia zifikie kisa sifuri kutoka Janga hilo."
Orodha za kuhudhuria mashabiki
Sobhy alionesha orodha za mahudhurio ya mashbiki kwa michuano :"Sasa hivi tunajadili jambo hili , pengine mashabiki watakuwepo 100% ,au 2:1 inamaanisha kuna kiti kitupu kati ya vitu vilivyojaa , au 3:1 ni kuna viti vitatu vitupu kati ya viti viwili ,na kuna hatua za kitahadhari zinazopatikana ambazoo tunatumai kutozihitaji ."
Misri na mapokezi ya michuano
Misri ikawa eneo tofauti ili kukarbisha michuano katika miaka iliyopita kiasi kwamba inakarbisha michuano 30 tofauti mwaka wa 2021 pamoja na mafanikio yake makubwa katika kukarbisha michuano miwili ya nchi za kiafrika kwa wakubwa na awamu chini ya mwaka 23 kwa Soka mwaka jana, ambapo maandalizi mazuri na kazi yalikuwa chanzo kikuu katika mafanikio makubwa, " ambapo kuna mtazamo na mfumo tunaufuatilia chini ya usaidizi usio na mipaka kutoka uongozi wa kisisa mafanikio yatokee .
Kwa upande wangu nilipochukua faili nilisema kuwa Misri inaweza kuandaa michuano mikubwa, mtihani wa kwanza ulikuja mwaka wa 2019 na michuano ya nchi za kiafrika kwa fadhili ya Mwenyezi Mungu tulifanikia ,kisha na michuano ya chini ya miaka 23 ,kisha na michuano ya Dunia kwa mpira wa mikono .
Ikiwa tulifikia kwa kiwango kizuri cha ujuzi hatuwezi kusimama kwake hapo hapo lakini lazima tuboreshe katika kazi yoyote ya mafanikio, tunapaswa tuwe na matarajio ya juu sana."
Alisistiza "Misri ina miundombinu katika vijana wake wenye nafasi kubwa kutoka elimu ,ujuzi pamoja na miundombinu yake."
Sobhy ameshatimiza" kuwepo kwa Dokta Hassan Mustafa naye ni mmisri anapenda nchi yake kwenye uongozi wa shirkisho la kimataifa kwa mpira wa mikono hakukubadilisha kitu kutoka kazi ya nje ,lakini tunafanya bidii ili michuano itokee kwa nje nzuri na tunaihifadhi mahali pake."
Comments