Aleksandria inapamba kwa maonyesho ya kisanii na kiutamaduni kwa Kombe la Mataifa ya Afrika.

Dokta Abdel-Aziz Qanswa, Gavana wa Aleksandria, alikutana na Dokta Adel Abdo, mkuu wa nyumba ya kisanaa  kwa sanaa za kienyeji na na kimaonyesho  , ili kujadili jinsi ya kurejesha Aleksandria kama nembo ya utamaduni na mji mkuu wa sanaa na kutoa njia zote za  msaada ili kuboresha kiwango cha maonyesho ya kisanii yanayotolewa,  ambayo huchangia kwa kiasi kikubwa kwa  ustawi wa  Rai ya kiujumla.

 

Gavana alithibitisha msaada wake kamili kwa ajili ya kukuza maonyesho ya kisanii yaliyowasilishwa kwa wananchi wa Aleksandria, akiashiria kwa  umuhimu wa kufanya maonyesho ya kisanii yanayofaa cheo cha Aleksandaria cha kitamaduni na kiustarabu, hasa wakati wa majira ya joto na Kombe la Mataifa ya Afrika.

 

Qansua Alisisitiza juu ya maandalizi ya mpango kamili wa matoleo ambayo yanaweza kutolewa na jinsi ya kuendeleza yao na matangazo kwa kuvutia na yenye heshima,Kukazia haja ya kuzingatia tamasha la Filamu za Aleksandria na kuzitolewa kwa namna inayofaa kwa cheo cha  Aleksandria

Comments