Waziri wa vijana na michezo akutana na kamati iandaayo michuano ya dunia kwa mpira wa mikono

Kamati iandaayo michuano ya mpira wa mikono, 2021 inafanya mkutano wa habari ili kutangaza  maelezo ya sherehe ya kura kwa michuano ya dunia kwa mpira wa mikono na inaamuliwa kuufanya nchini Misri Januari, 2021, mnamo saa tano kamili asubuhi ya Jumanne ijayo , Septempa mosi, 2020 kwa mahudhurio ya Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo ,Mhandisi Hesham Nasr Mwenyekiti wa kamati iandaayo ,Kocha Hussien Labib mkurgunzi wa michuano na watu wanaohusiana kutoka kamati za kiufundi zinazoandaa michuano .


Jambo hilo limekuja wakati wa mkutano wa wiki, uliofanyika na  Waziri huyo, keo  Jumapili pamoja na kamati iandaayo kombe la dunia kwa mahudhurio ya Hesham Nasr Mwenyekiti wa kamati ,Hussien Labib Mkurgunzi wa michuano ,Tarek Eldeep naibu wa mkurgunzi wa michuano ,Dokta Ahmed Elshiekh Mwenyekiti wa kamati ya mawasiliano ya serkali na wakilishi kadhaa wa kamati iandaayo .


Pia mkutano umejumuisha vitu vipya vya mwisho vinavyohusika kumaliza majengo yote yanyahusiana na kumbi zinazokarbisha michuano kwa kumbi za mazoezi ,pia mkutano unajumuisha vipengele vikuu kwa sherehe ya kura na mpango unaopendekzwa.


Vilevile Mkutano umejumuisha kuanza kuchagua wajitolea kutoka waliosajili kwa kazi katika michuano ambao idadi yao inafika wajitolea  elfu 6, kwa ushiriki katika kujitolea kwa michuano ,ambapo mchakato wa kuchagua utaanza kuanzia leo.


Kwa upande wake Dokta Ashraf Sobhy alisistizia dhraura ya kutokeza maelezo yote yanayohusiana na michuano kwa sura nzuri kwa nafasi ya Misri ulimwenguni ,akiongeza kuwa shirika linafanya kwa bidii pamoja na ushirikiano na mashirika yote yanayohusiana ,akiashiria kwa uratibu na mawasiliano yanayoendelea na Shirikisho la kimataifa kwa mpira wa mikono kwa uongozi wa Dokta Hassan Mustafa katika maelezo  ,hatua ,nyakati zote zinazohusiana na michuano. 


Kwa upande wake Hussen Labib Meneja wa michuano alisisitiza kuwa imeshamaliza kutoka hatua inayohusiana na michuano ambayo imeshaitengenzwa katika moja ya nchi za Ulaya na itatangazwa kupitia sherehe ya kura inayoamuliwa mnamo Septemba 5, 2020 .


Comments