stesheni za tramu za Aleksandria zinapambwa ili kupokea watazamaji wa Kombe la Mataifa ya kiafrika.
- 2019-06-03 12:33:26
Mamlaka Kuu ya Usafiri wa Abiria huko Alexandria iliendelea kuendeleza na kuboresha ufanisi wa stesheni za tramu "Mwelekeo wa Mchanga" “Raml Direction”stesheni 31 inaandaa kupokea mashabiki wa Kombe la Mataifa ya kiafrika.
Alexandria
inarekebisha kundi la pili katika michuano, Ambalo linajumisha timu za "Nigeria, Guinea, Burundi,
Madagaskar", katika kipundi cha Juni 21 hadi 19 Julai ujao.
Mhandisi
Mohamed Zakaria, mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Umma huko Aleskandria, alisema kwamba Imeanza kufunga mabango ya
uongozi kwa mwelekeo wa tramu ya mchanga kwenye barabara za njia za
stesheni,hata wageni wanaweza kujua maeneo kwa urahisi.
Zakaria
aliongeza kuwa inaendelea kuongeza ufanisi wa steheni na barabara na njia ya
tramu ya “Raml “, kuanzia stesheni ya Raml
hadi stesheni ya "Victoria" kwa urefu wa kilomita 28.
Mhandisi
Mohammed Al-Ghazoli, mkuu wa warsha za Al-Baladov, alifafanua kuwa kampeni ya
kuosha barabara za njia za tramu kwa maji na sabuni imezinduliwa ili kuhifadhi
utamaduni kuonekana mbele ya Mashabiki wa "AFCON2019".
Comments