Miongoni mwa misimamo inayonyesha umahiri wa kisiasa wa
Abd_Elnaser wa kusaidia nchi za kiafrika ni lililotukia mwaka 61 ambapo Somalia
katika Wakati huu ilikuwa chini ya utawala wa waitalia waliokuwa wakitaka
kumshinikizia waziri mkuu wa Somalia Charmaki ili kubadilisha siasa yake ya
uhuru(ukombozoi), mashirika ya kiitalia yalijilimbikiza ndizi ili kumtisha ima
kuibadilisha siasa yake au yanasababisha kuuporomoka uchumi wake unaotegemea
kwa nguvu Juu ya ndizi katika mapato ya ndani
Katika wakati hii Charmaki aliiomba msaada ya Abd_Elnaser
aliyefikiria vipi kuokoa uchumi wa kisomalia na anageuka uchawi juu ya mchawi
mwenyewe na anawalazimisha waitalia kufungua kuzingirwa na wananunua mazao kwa
bei juu inayoainishwa na Somalia, pasi alikubaliana na Charmaki kwamba yeye
anatangaza rasmi kwamba Abd_Elnaser atanunua mazao zote na kwa hivyo mashirika
ya kiitalia yataogopa kulipotea soko la kisomalia, mpango huu umeshafanikiwa na
wakawa waitalia waliendelea kuzungumzia na charmaki kwa kuifuta makubaliano
yake na Misri na walimtoa ahadi ya kufungua kuzingirwa, na kwa usaidizi wa
Abd_Elnaser ndizi za kisomalia haziuzwi tu bali ziliuzwa kwa bei juu zaidi
kuliko mara zingine zilizopita.
Comments