Rais wa shirikisho la mini football akutana na Shirikisho la Afrika kwa kutafuta kukarbisha Misri mashindano ya kimataifa
- 2020-09-21 10:42:19
Ahmed Samir Rais wa shrikisho la Misri kwa mini foot ball ameachia Kairo, akielekea Tunisia kwa kufanya mkutano na shirikisho la kiafrika kwa mini football chini ya uongozi wa Ashraf bin Saliha ili kujadili maswala kadhaa na wakati wa mashindano ya kiafrika kama mashindano ya kombe la nchi za kiafrika ambayo imekuwa yatafanikia katika kiangazi cha mwaka huu nchini Naigria lakini yameahirishwa kwa sababu ya Janga la Corona na mashindano ya kombe la Afrika kwa klabu ya ndani yanayofuzu ligi ya ndani,na inatarajiwa yatafanikwa mnamo mwisho wa Disemba nchini Tunisia.
Na itazungumzia bahati ya Afrika kuyakaribisha mashindano ya kimataifa mnamo wakati ijayo na matayrisho ya Misri kuyakaribisha mashindano yanayo muhimu na kutaratibu duara ya kuzoea ya kwanza kwa marefa,makocha na maafisa, itakayofanikwa nchini Misri na shirikisho la Misri kwa mini football linaiandaa ili kutoa kizazi cha kwanza cha marefa,makocha na maafisa nchini Misri na mafanikio haya yanasisitizia ahadi ya Rais wa shirikisho,kiasi kwamba: amesema katika shirika letu hatutategemea mtu mgeni.
Ziara ya Rais wa Shirikisho la kimisri la mini football kwa Shirikisho la Tunisia ilikuwa pamoja na kuandaa kufanya ushirikiano kati ya mashirikisho mawili na hasa katika kandanda ndogo ya wanawake itakayotangazwa wakati wa mkutano wa Shirikisho la kiafrika.
Comments