"KOPO" kwa ladha ya kiafrika.. Wanafunzi wa kitivo cha sanaa za kiuteklezaji wanaunda maganda mapya kwa kombe la mataifa.
- 2019-06-03 12:45:39
Mnamo wakati wa uangalifu wa Wizara ya Utalii
kwa kutumia matokeo makubwa ya kimataifa vizuri kueneza kwa Misri kati ya
mataifa, na hiyo inayojumuisha kwa mhimili wa uenezaji na uchangamfu kwa
programu ya marekebisho ya kimuundo iliyotolewa kwa Wizara ili kuboresha sekta
ya Utalii, Wizara ya Utalii inayowakilisha katika "Taasisi kuu ya kimisri
kwa kuboresha Utalii " ilitia saini mkataba pamoja na shirikisho la
kiafrika la Soka (KAF) ili iwe mdhamini rasmi wa kikanda kwa michuano ya kombe
la mataifa ya kiafrika kwa mpira wa miguu 2019,na hayo mnamo kukaribisha Misri
kwa michuano hii mnamo kipindi cha 21 Juni hadi 19 Julai ujao.
Dokta Rania Elmashat
"Waziri wa Utalii" aliashiria kwa umuhimu wa kukaribisha Misri kwa
tukio muhimu la kimichezo juu ya ardhi yake khasa kwamba mara ya mwisho Misri
ilikaribisha michuano hii ilikuwa mwaka wa 2006, akiashiria kwamba hayo yote
yanaakisi uamini wa dunia kwa uwezo wa nchi ya kimisri kwa kukaribisha na
kuandaa matukio makubwa, na hiyo inasawazisha na Urais wa Misri kwa Umoja wa
kiafrika kwa mwaka wa 2019.
Waziri wa Utalii alitia
mkazo juu ya umuhimu wa kusaidia michuano ya kimichezo ya kimataifa, ambapo
inavutia michuano mikubwa ya kimichezo kama michuano ya kombe la mataifa ya
kiafrika, mamilioni ya mashabik, wapenzi wa mpira wa miguu, na watazamaji toka
mahali pote.
Na aliongeza kwamba
Wizara ya Utalii inatoa juhudi nyingi kwa kutumia matukio ya kimichezo ya
kimataifa ili kuweka jina la Misri viwanjani, na alisema kwamba " kuwepo
kwetu viwanjani na kutumia nyota wa kimataifa wa mpira ni alama maarufu kwa
Misri", akiashiria kwa kampuni ya kimatangazo kwa Wizara ya Utalii mnamo
tukio la kimichezo la kimatifa kubwa zaidi nalo ni michuano ya kombe la dunia
FIFA 2018 ambapo Misri ilikuwa mdhamini mwafrika rasmi wa kikanda kwa michuano.
Na Waziri alifafanua
kwamba sehemu ya haki za Wizara kulingana na Protokoli ni kutumia picha za
wachezaji, picha na Video za ziara zao kwa maeneo ya kiutalii na kiathari ni
mwanzoni mwa harakati za kuboresha na kueneza katika Wizara, ambalo litakuwa na
athari kubwa kwa uenezaji wa Misri kwa kutazama yanayopatika ndani ya nyota wa
mpira wa miguu toka upendo wa mashabiki toka Jinsia na umri zote.
Na Waziri aliongeza kwamba : "michuano
inashirikiana kwa timu 24 za kiafrika, tunatamani mafanikio kwa zote, na
tunaomba kwa timu ya kimisri ili kupata kombe la michuano kwa mara ya
nane".
Pia Waziri alitamani
kukaa kuzuri kwa timu zinazoshirikiana, na kuburudisha kwa wengi na tofauti za
majaribio ya kiutalii yanayokaribishwa toka Misri kwa wageni wake toka pembe
zote za dunia.
Na toka upande mwingine
Mhandisi Ahmed Yousef"Rais wa taasisi kuu ya kimisri kwa kuboresha Utalii
"alisema kwamba kulingana na Protokoli hii Wizara itakuwa na haki ya
kuweka kauli ya "Egypt where it all begins" na linki ya tovuti ya
taasisi juu ya tovuti ya KAF (Shirikisho la kiafrika), pia itakuwa na haki ya
kutumia kauli ya KAF kwa njia zake zote za matangazo.
Aliongeza kwamba
walikubaliana kwa kuweka kauli ya ya taasisi katika mikutano ya kihabari
inayohusu michuano na matukio yoyote yanayoambatana michuano, pamoja na kutumia
mabango ya matangazo viwanjani ambapo mechi hufanyika kama majukwaa ya
kimatangazo kwa taasisi ili kuonyesha maada za vutia kwa Misri kwa muda ya
dakika na nusu kila mechi.
Pia aliashiria Rais wa
taasisi kwa kuangalia toka Wizara kwa jambo la utalii wa kimichezo ambalo
linazingatiwa toka njia muhimu za kiutalii zinazovutia aina tofauti za watalii
khasa vijana wa Jinsia tofauti, akiashiria kwa Shime ya Wizara ya kusaidia
michuano ya kimichezo ya kimataifa, ambayo hutazamwa na mamilioni ya watazamaji
wenye umri tofauti pembeni mwa ulimwengu na miongoni mwake ni michuano ya kombe
la mataifa ya kiafrika 2019 ili kueneza kwa Misri ulimwenguni.
Comments