Kamati ya uvumbuzi wa kielimu imefanyika mkutano kwa kuweka masharti ya usuluhisho katika tamsha hili la Ibdaa la msimu wa tisa , kuandaa kuanzisha tamsha mwanzoni wa marudio ya masomo 2020/2021,na mambo hayo chini ya uangalifu wa Waziri wa vijana na michezo.
Idara kuu ya programu za kiutamduni na kazi za kujitoa imefanyika mkutano pia,na tume ya idara hii inajumuisha:
Dokta Mohamed Tantawi: Mkurugenzi wa programu za kuhimiza elimu,kuvumbua na Ujasiriamali....chuo cha utafiti wa kielimu na kiteknolojia.
Dokta Mohamed Algamry: Mkuu wa tafiti za kutumika katika chuo cha kiarabu kwa Sayansi, Teknolojia na Usafirishaji baharini.
Mhandisi Mahmod Aboud: Mkuu wa IEEE TEMS katika mashariki ya kati na kaskazini ya Afrika na Mkuu mtendaji katika kambuni ya uvumbuzi wa kimataifa na Ujasiriamali.
Mhandisi Kamal Tman: IoT Solutions Lead_ ukongozi wa ufumbuzi wa mtandaoni kwa Vodafone Misri.
Mtusubiri mnamo siku zijazo kwa kutangaza masharti ya usuluhishi kwa kila sekta na jinsi ya kujiunga kwa tamsha.
Comments