Wizara ya Utalii ni mdhamini rasmi wa kikanda kwa michuano ya kombe la mataifa ya kiafrika kwa mpira wa miguu 2019

 Mnamo wakati wa uangalifu wa Wizara ya Utalii kwa kutumia matokeo makubwa ya kimataifa vizuri kueneza kwa Misri kati ya mataifa, na hiyo inayojumuisha kwa mhimili wa uenezaji na uchangamfu kwa programu ya marekebisho ya kimuundo iliyotolewa kwa Wizara ili kuboresha sekta ya Utalii, Wizara ya Utalii inayowakilisha katika "Taasisi kuu ya kimisri kwa kuboresha Utalii " ilitia saini mkataba pamoja na shirikisho la kiafrika la Soka (KAF) ili iwe mdhamini rasmi wa kikanda kwa michuano ya kombe la mataifa ya kiafrika kwa mpira wa miguu 2019,na hayo mnamo kukaribisha Misri kwa michuano hii mnamo kipindi cha 21 Juni hadi 19 Julai ujao.  

 

 Dokta Rania Elmashat "Waziri wa Utalii" aliashiria kwa umuhimu wa kukaribisha Misri kwa tukio muhimu la kimichezo juu ya ardhi yake khasa kwamba mara ya mwisho Misri ilikaribisha michuano hii ilikuwa mwaka wa 2006, akiashiria kwamba hayo yote yanaakisi uamini wa dunia kwa uwezo wa nchi ya kimisri kwa kukaribisha na kuandaa matukio makubwa, na hiyo inasawazisha na Urais wa Misri kwa Umoja wa kiafrika kwa mwaka wa 2019.  

 

 Waziri wa Utalii alitia mkazo juu ya umuhimu wa kusaidia michuano ya kimichezo ya kimataifa, ambapo inavutia michuano mikubwa ya kimichezo kama michuano ya kombe la mataifa ya kiafrika, mamilioni ya mashabik, wapenzi wa mpira wa miguu, na watazamaji toka mahali pote.

 

  Na aliongeza kwamba Wizara ya Utalii inatoa juhudi nyingi kwa kutumia matukio ya kimichezo ya kimataifa ili kuweka jina la Misri viwanjani, na alisema kwamba " kuwepo kwetu viwanjani na kutumia nyota wa kimataifa wa mpira ni alama maarufu kwa Misri", akiashiria kwa kampuni ya kimatangazo kwa Wizara ya Utalii mnamo tukio la kimichezo la kimatifa kubwa zaidi nalo ni michuano ya kombe la dunia FIFA 2018 ambapo Misri ilikuwa mdhamini mwafrika rasmi wa kikanda kwa michuano.

 

 Na Waziri alifafanua kwamba sehemu ya haki za Wizara kulingana na Protokoli ni kutumia picha za wachezaji, picha na Video za ziara zao kwa maeneo ya kiutalii na kiathari ni mwanzoni mwa harakati za kuboresha na kueneza katika Wizara, ambalo litakuwa na athari kubwa kwa uenezaji wa Misri kwa kutazama yanayopatika ndani ya nyota wa mpira wa miguu toka upendo wa mashabiki toka Jinsia na umri zote.

  Na Waziri aliongeza kwamba : "michuano inashirikiana kwa timu 24 za kiafrika, tunatamani mafanikio kwa zote, na tunaomba kwa timu ya kimisri ili kupata kombe la michuano kwa mara ya nane".

 

  Pia Waziri alitamani kukaa kuzuri kwa timu zinazoshirikiana, na kuburudisha kwa wengi na tofauti za majaribio ya kiutalii yanayokaribishwa toka Misri kwa wageni wake toka pembe zote za dunia.

 

  Na toka upande mwingine Mhandisi Ahmed Yousef"Rais wa taasisi kuu ya kimisri kwa kuboresha Utalii "alisema kwamba kulingana na Protokoli hii Wizara itakuwa na haki ya kuweka kauli ya "Egypt where it all begins" na linki ya tovuti ya taasisi juu ya tovuti ya KAF (Shirikisho la kiafrika), pia itakuwa na haki ya kutumia kauli ya KAF kwa njia zake zote za matangazo.

 

 Aliongeza kwamba walikubaliana kwa kuweka kauli ya ya taasisi katika mikutano ya kihabari inayohusu michuano na matukio yoyote yanayoambatana michuano, pamoja na kutumia mabango ya matangazo viwanjani ambapo mechi hufanyika kama majukwaa ya kimatangazo kwa taasisi ili kuonyesha maada za vutia kwa Misri kwa muda ya dakika na nusu kila mechi.

 

  Pia aliashiria Rais wa taasisi kwa kuangalia toka Wizara kwa jambo la utalii wa kimichezo ambalo linazingatiwa toka njia muhimu za kiutalii zinazovutia aina tofauti za watalii khasa vijana wa Jinsia tofauti, akiashiria kwa Shime ya Wizara ya kusaidia michuano ya kimichezo ya kimataifa, ambayo hutazamwa na mamilioni ya watazamaji wenye umri tofauti pembeni mwa ulimwengu na miongoni mwake ni michuano ya kombe la mataifa ya kiafrika 2019 ili kueneza kwa Misri ulimwenguni.

Comments