Waziri wa michezo afuata vitu vipya vya kukarbisha kwa Misri kwa kombe la dunia la mikono
- 2020-09-29 23:06:22
na awaheshimu wakuu wa kamati ndogo kwa kamati iandaayo
Katika mraba wa kufuata kwake kwa maandalizi yote yanayohusu kukarbisha kwa Misri kwa michuano ya dunia kwa mpira wa mikono kwa wanaume mnamo 2021 ,Dokta Ashraf Sobhy Waziri wa vijana na michezo alifanya mkutano wake wa kila wiki pamoja na kamati iandaayo kwa kombe la mikono kwa mahudhurio ya Dokta Hassan Mustafa Mwenyekiti wa shirikisho la kimtaifa kwa mpira wa mikono ,Mhandisi Heshim Nasr Mwenyekiti wa shirikisho la kimisri kwa mikono , Mwenyekiti wa kamati iandaayo kwa michuano ,idadi ya wakuu wa kamati ndogo na Mkurgunzi wa michuano Hussien Labib .
Mkutano huo umejadili maandalizi ya mwisho yanayohusiana na kukarbisha kwa Misri kwa kombe la dunia kwa ushiriki wa timu 32 mnamo Januari ijayo , maandalizi yote ya uratibu na idara kuhusu makazi ya timu zinazoshiriki na jumbe zinazoandamana ,pia kuonesha maendeleo yanayohusiana na kumbi zinazofunkiwa na zinazokarbisha kwa mashindano ya kombe la dunia zinazowakilisha katika ukumbi uliofunikiwa katika shirika la uwanja wa Kairo wa kimataifa ,ukumbi uliofunikiwa katika mji mpya wa kiutawala ,ukumbi uliofunikiwa katika Borg Alarab mkoani Aleskandaria .
Na kuheshimu jukumu lao katika maandalizi yote yanayoendelea ,na kuwahamsisha , Waziri wa vijana na michezo na Mwenyekiti wa shirikisho la kimataifa kwa mpira wa mikono waliwaheshimu wakuu wa kamati ndogo katika kamati iandaayo, kama ( mawasiliano ya kiserikali ,ununuzi ,makazi ,matangazo ,kamati ya kisheria na kamati ya kifedha .)
Dokta Ashraf Sobhy alisistizia uratibu na kufuata kwa daima kati ya vipande vyote chini ya ufahamu ili kuhakiksha lengo linalotafutiwa na watu , linalowakilishwa katika kufaulu kwa kukarbisha kwa Misri kwa kombe la dunia juu ya viwango vyote vya kiuratibu na kiufundi na kiidara ,akiashiria hatua za mwisho zinazoendelea kupitia muda wa kisasa kwenye kumbi zilizofunkiwa na zilizokarbisha michuano na zitakuwa tayari kwa kukarbisha mechi za kombe la dunia .
Waziri huyo alitoa shukrani na heshima kwa kamati iandaayo michuano na kamati ndogo zake kwa juhudi inayotolewa mnamo wakati uliopita na kuendelea kwa mfumo mwenyewe na nguvu kwa siku zijazo ili kukamlisha hatua zote zinazotarjiwa na maandalizi kwa kombe la dunia, wakati huo akisifu Shirikisho la kimataifa la mpira wa mikono kwa uongozi wa Dokta Hassan Mustafa kwa utiliaji muhimu wa kufuata kwa hatua zote zinazohusiana kwa kukaribisha michuano.
Kwa upande wake ,Dokta Hassan Mustafa, wakati wa mkutano huo aliangalia uboreshaji wa kukarbisha Misri kwa kombe la dunia kwa mpira wa mikono ,akisifu usaidizi wa serkali ya kimisri ili kukarbisha kombe la dunia , ufuatiliaji binafsi wa Waziri wa vijana na michezo kwa suala hilo,na utendaji bora wa kamati iandaayo na kufuata kwake kwa maelezo yote na kiwango cha mafanikio katika taratibu za kiutendaji na kiidara zinazohitajika.
Comments