Msaidizi wa Waziri wa michezo ampokea Mayar Sherif katika uwanja wa ndege wa Kairo
- 2020-10-05 18:26:30
Dokta Ashraf Sobhy –Waziri wa vijana na michezo- alimwakilisha Dokta Amr Al Hadad -Msaidizi wake- kwa kumpokea Mayar Sherif –Bingwa wa Misri katika Tenisi, na msichana wa dhahabu wa Misri- alipofikia uwanja wa ndege wa mataifa wa Kairo akirudi kutoka Uhispania, baada ya kuhakikisha mafanikio ya kihistoria kwa Tenisi ya kimisri katika mashindano ya Rolan Gross –moja ya mashindano makubwa katika Tenisi- kwa mahudhurio ya bodi ya usimamizi wa shirikisho la kimisri la Tenisi ikiongozwa na Ismail Shafei, na Dokta Ahmed Gomaa –Msaidizi wa Waziri wa vijana na michezo-.
Hiyo inakuja katika shime ya Waziri huyo kwenye kutoa njia zote za kuungana na kuimarisha Mabingwa wa kimichezo wa Misri wanaoinua jina la Misri kwa juu, na kuhakikisha mafanikio ya heshima katika mashindano na sherehe zote za kimataifa.
Mayar Sherif alishinda katika kudumisha jina la kwa dhahabu katika Dunia ya Tenisi, baada ya kuhakikisha mafanikio ya kihistoria, baada ya amekuwa mchezaji wa kwanza wa kimisri katika historia ya Tenisi ya kimisri anayefika awamu kuu kutoka mashindano makubwa ya tenisi, mashindano ya Rolan Gross, kabla ya hiyo, amekuwa mchezaji wa kwanza wa kimisri aliyeshinda shindano katika mashindano hiyo hiyo, pamoja na kushinda kwake katika kufika michezo ya Olimpiki mjini Tokyo, kwa kuwa mchezaji wa kwanza wa kimisri anayefika Olimpiki katika historia ya mchezo.
Vyombo vya kimataifa vya habari vilisifu Mayar Sherif -mchezaji wa kimisri wa tenisi- aliyeainishwa namba 172 duniani, baada ya mechi nzuri aliicheza dhidi ya Carolina Bliskofa –aliyeainishwa namba nne duniani- katika awamu ya kwanza ya mashindano ya Rolan Gross.
Mayar Sherif -Nyota ya tenisi ya kimisri- alishindwa kwa matokeo 2-1 dhidi ya Carolina katika vikundi, lakini amepigana, na alitoa mafanikio mazuri sana mbele ya aliyeainishwa namba pili katika mashindano na nne duniani; iliweka Mayar katika kiwango na daraja la nyota za dunia katika mchezo, na kudhamini lakabu ya “Msichana wa kidhahabu wa Tenisi” na upendo wa watu wa Misri
Comments