Waziri wa michezo awaheshimu Mayar Shiref na Mohamed Safwt mabingwa wa Tenisi baada ya mafanikio yao ya kihistoria
- 2020-10-08 17:42:38
Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo aliwaheshimu wachezaji Mohamed Safwt na Mayar Sherif mabingwa wa Tenisi ,kwa sababu ya mafanikio waliyoyahakiksha na utendaji wao mzuri ,na kufikia kwao olimpiki ya Tokyo, inayoamuliwa kufanyika kwake mnamo msimu wa joto ujao ,kwa mahudhurio ya Ismael Elshafai Mwenyekiti wa shirikisho la kimisri la Tenisi, leo jioni, katika Diwani kuu ya Wizara .
Kwa upande wake ,Dokta Ashraf Sobhy Waziri huyo alielezea furaha yake kwa mafanikio na matukio ya kimatibabu ambayo mabingwa wamisri wanayahakiksha katika Tenisi miongoni mwa mafanikio ya kihistoria katika mashindano ya wanaume kwa Mohamed Sofwt ,na katika mashindano ya wanawake kwa Mayar Sherif ,akisistiza kuwa Mayar Sherief na Mohamed Safwt wapatikana katika mpango wa Wizara ya michezo , unaojumuisha wachezaji 55 ili kusaidia wachezaji nchini Misri , akiashiria kuwa michezo ya Tenisi nchini Misri itashuhudia uzinduzi mpya na tofauti kwa sababu ya mafanikio ambayo mabingwa wa Misri wanayahakiksha .
Sobhy alisema :"Ushindi wa wachezaji katika michezo tofauti mnamo muda wa mwisho ni mzuri sana ,na kitu ambacho mabingwa wa Tenisi sawa na Mayar Sherif au Mohamed Safwt wameyahakikisha ni mafanikio yanayofanya nchi kuwahamasisha daima, jambo hili ambyo nchi inalilenga ,kwa kujali wachezaji wake na mabingwa wake katika nyanja tofauti ,sisi tunawasiliana nao daima , akiashiria kwa umakini wa nchi kwa kuna nyanja za mpira za Tenisi katika majengo yote ya kimchezo mnamo muda uliopita" .
Katika hotuba yake ,Ismael Elshafai Mwenyekiti wa Shirikisho la kimisri la Tenisi alisema :"kufikia Mayar Sherif na Mohamed Safot kwa Olimpiki ya Tokyo mnamo 2021 kilitokea kitu tofauti katika Tenisi ya kimisri ,na kuvutia watazamaji tena kwa mchezo".
Alifuata :" kufikia Mayar Sherif na alilohakikisha katika Rolan Garos ,ilifanya uanishaji wake bora zaidi ,na sasa hivi anatafutia ili kutoa ngazi nguvu zaidi mnamo kipindi kijacho".
Elshafie alisistiza kuwa Wizara ya michezo inatoa kila msaada kwa Shirikisho ,haitoshelezi juhudi yoyote katika kuondoa vikwazo kwa wachezaji , akiashiria kwa anawasiliana daima na kamati ya kiolompiki inayofuata maendeleo yote katika Shirikisho .
Mwenykiti wa Shirikisho alisisitiza kwamba wote wanahangaika kurejesha michuano ya Misri ya kimataifa kwa Tenisi ,mpaka nguvu kamili kwa michezo nchini Misri hadi tunaweza kutoka kuenea kwake kwa sura nzuri zaidi .
Kwa upande wake Mohamed Safwt alisisitiza kupitia hotuba yake kuwa anajaribu kuvunja kizuizi cha ushiriki katika michuano mikubwa tu , akiashiria kwa anatafutia mashindano juu pia .
Alieleza kuwa kwa bahati njema Olimpiki imeshaahrishwa kwa ajili ya kuandaa kwa sura nzuri zaidi, akisisitiza kuwa mpira wa Tenisi nchini Misri unashuhudia kitu tofauti kikubwa na kutoa mafanikio tofauti.
Mayar Sherif alitoa shukuru kwa Wizara ya vijana na michezo na kamati ya kiolompiki na hata pia Shirikisho la Tenisi juu ya usaidizi wao ,pia watu wa kimisri kwa usaidizi wao mkubwa kwake kupitia michuano , akisisitiza anatarajia kuwa jambo ambalo limehakiksha linakuwa uhamsishaji kwa wachezaji wachipukizi wa vijana katika siku za usoni na wanafundisha kwao na wanakuwa bora zaidi .
Dokta Ashraf Sobhy Waziri huyo alitoa ngao ya Wizara ya michezo kwa Mayar Sherif na Mohamed Safwt mabingwa wa Tenisi ,pembezoni mwa sherehe ya kuheshima kwa wachezaji wawili baada ya mafanikio waliyoyahakikisha mnamo kipindi kilichopita.
Comments