Katika maandalizi ya michuano ya Mataifa ya kiafrika 2019 ... Mawaziri wa Michezo na Afya walitafutia uwanja wa kairo

 Dokta  Ashraf Sobhi, Waziri wa Vijana na Michezo, na Dokta  Hala Zayed Waziri wa Afya, waliangalia uwanja wa kairo, katika maandalizi ya Mataifa ya kiafrika inayofanyikwa hapa kwenye Jamhuri ya Misri  ya kiarabu mwezi  huu wa Juni.

                                          

Waziri wa Vijana na Michezo, Waziri wa Afya waliangalia maandalizi na shughuli za maendeleo ya uwanja , na akisisitiza kuwa mkutano wa leo  na Waziri wa Afya kwa  kusimamisha juu ya uratibu wa wizara mbili kwa kujiandaa kuendelea na tukio muhimu hilo, na kukidhi mahitaji ya mashabiki wamisri na wageni.

 

Dokta Ashraf Subhi alithibitisha kuendelea kufuatilia maandalizi ya Wizara ya Afya na Kamati ya Kuandaa ya michuano na maandalizi ya vyumba vya uendeshaji vya Wizara, ambavyo vitaanzia kutoka tarehe ya 15 Mei hadi mwisho wa michuano katika masaa 24, aliyopelekwa kuchapisha  lini ya simu ya Wizara ya Afya kwa michuano (998) akiashiria kwamba  ushirikiano kati ya wizara mbili na kamati ya kuandaa itakuwa kuratibu kwa kueneza timu ya dharura katika viwanja.

 

Waziri wa Afya alifafanua  kuwa wizara imeandaa maandalizi muhimu ya kupokea wajumbe katika uwanja wa ndege wa Kairo, na akionyesha kwamba wizara inazingatia sehemu ya kutoa michuano  hayo kwa njia inayofaa.

 

Dokta Hala Zayed alishiria  kuwa wizara itafanya uchunguzi wa virusi ya  c, sukari na shinikizo kwa bure kwa mashabiki kutoka nchi za Kiafrika, na akionyesha kuwa wizara inatafuta na taasisi zote zinazohusika kufanyika michuano  hiyo  mfano wa kufuatilia kwa  wote katika utaratibu wa michuano. 

Comments