Piramidi zapokea " Mashindano ya pikipiki ya kimataifa ya Misri " mnamo Novemba 14


Ibrahim Farid , Mkurugenzi mtendaji wa shirikisho la pikipiki la Misri , alitangaza kuzindua mashindano ya pikipiki ya kimataifa ya Misri huko eneo la Piramidi, Novemba 14 . 


Mkutano huo utafanyika chini ya usimamizi wa Waziri wa Vijana na Michezo Dokta Ashraf Sobhy , ambaye aliahidi kutoa ufadhili kamili ili kufanikisha mashindano ambapo mabingwa wamisri, nchi za kiarabu na za Ulaya watashiriki . 


Waziri  Dokta Ashraf Sobhy, akatangaza ufadhili wa Misri kwa mashindano hayo ya majangwa ambayo yatainua 

 jina la Misri huko juu katika mchezo wa pikipiki katika sherehe zote za kijiji na dunia ili kuiwakilisha Misri . 


Uchaguzi wa Piramidi ulikuja ili kupokea tukio hili kubwa kwa ajili ya kueneza utalii wa kimchezo nchini Misri ili kuandaa mashindano ya majangwa , yanayosaidia kufufua utalii kwa kupanga mashindano ya pikipiki ya kimataifa ya Misri kwenye ardhi za Misri.

Comments