Waziri wa michezo awaheshimu timu ya taifa ya Misri ya kunyanyua chuma kwa vipofu

Dokta Ashraf Sobhy , Waziri wa vijana na michezo aliheshima timu ya Misri kwa michezo ya kunyanyua chuma kwa vipofu na vifaa vya kiufundi na kiidara ,baada ya kuhakiksha matokeo mazuri sana katika michuano ya Dunia namba 14 ,na michuano ya kwanza wa Afrika iliyofanyikwa  huko Giza mnamo (15-2019/11/22),na kwa mahudhurio ya Baraza la idara ya Shirikisho la kimchezo na kimisri kwa vipofu chini ya uongozi wa Dokta Ahmed Aween ,na Japo la viongozi wa Wizara ya vijana na michezo .


Dokta Ashraf Sobhy, Waziri huyo alisisitiza kuwa michezo ya kuinua michezo ya kunyanyua chuma ambayo imeingia miongoni mwa michezo ya vipofu nchini Misri tangu miaka miwili tu ingawa upya wake ,wachezaji waliweza kurekodi namba zinaonesha kwa mustkabali mkubwa kwa mchezo huo ,na mchezo huo haihusishi wanaume tu ,lakini miongoni mwa mabingwa wake  ni wasichana wanahakiksha namba kubwa ,akieleza kuwa uongozi wa kisiasa unafuatia jambo  linalofamikiwa katika michezo ya kimisri na unahamsisha kwa nguvu wachezaji wa viwango vyote .


Sobhy aliashiria kuwa Wizara inahamsisha wachezaji wamisri katika michezo tofauti ,hasa nani anayechukua medali na anahakikisha vituo vizuri sana , Wizara inahangaika kupunguza vikwazo vyote vinavyopambana timu za kimchezo ,wakati  kipindi cha maandalizi au ushiriki katika michuano na sherehe za kimataifa ,akisistizia jukumu la wizara la kutosheleza mazingera mazuri kwa kazi na kuhakiksha michuano .



Waziri huyo aliomba mabingwa wa kunyanyua chuma kutoka vipofu kwa dhraura ya ushiriki katika uchaguzi wa Bunge ,kupiga kura kwa Demokrasia ,wakiamini jukumu la kitaifa na haki ya uchaguzi kwa raia .


Kwa upande wake ,Dokta Ahmed Aween Mkuu wa baraza la idara ya Shirikisho la kimisri na kimchezo kwa vipofu alitoa shukrani kwa Waziri wa vijana na michezo juu ya usaidizi wa kudumu  haswa kwa timu na michezo ya kimisri kwa jumla ,kwa sababu inaathiri  kuhakiksha michuano  inayoongeza kwa rekodi ya kimisri hivi karbuni.

Ikumbukwe kuwa michuano miwili ilifanyikwa na ushiriki wa nchi 10 nazo ni (Misri ,Japani ,Ukranie,Uhindi , Uturuki,Urusi,Ucheki ,Gerogia ,Venzuela na Libya ).

Comments