Waziri wa michezo afungua mkutano wa kimataifa na kiafrika ili kuonesha jarbio la kimisri kwa kurudi harkati ya kimchezo wakati wa Janga la Corona


Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo ,siku ya Jumatano ,katika kituo cha kiolompiki huko El Maadi alifungua matokeo ya mikutano ya kimataifa ya kiafrika chini ya hatua za kitahadhari kwa kurudi harkati ya kimchezo barani Afrika wakati wa Janga la Corona (jarbio la kimisri ) .


Pia Shirkisho la kiafrika kwa tibabu ya kimchezo kwa ushirkiano na idara ya kati kwa tibabu ya kimchezo kwa wizara ya vijana na michezo ,kwa mahudhurio ya Dokta Khaled Msood katibu mkuu wa Shirkisho la kiafrika kwa tibabu ya kimchezo ,mwenyekiti wa idara ya kati kwa tibabu ya kimchezo kwa wizara ya vijana na kimchezo , Meja Jenerali Ahmed Nasar mwenyekiti wa shirkisho la mashirkisho ya kiafrika ,Dokta Mohamed Sultan mwenyekiti wa kamati ya juu ya kimatibabu ,Dokta Naema Elqasir mwakilishi wa shirika la Afya ulimwenguni , Luteni Sabry Muslahi mwenyekiti wa kifaa cha kimchezo cha kijeshi ,idadi ya wakuu wa mashirkisho ya kimchezo , Balozi wa Sherief Eissa msadizi wa waziri wa nje kwa masuala ya kiafrika ,kwa ushiriki wa Dokta Konstant Antwon mwenyekiti wa Shirikisho la kiafrika kwa tabibu la kimchezo kupitia video Conference wote wameandaa mkutano .


Katika hotuba yake ,Dokta Ashraf Sobhy :(tunafurahi kwa kukarbisha na kujali mkutano huo ,na kueleza jukumu la Misri katika kupambana na Virusi vya Corona kwa nchi za kiafrika kuzindua kutoka mtazamo wa utawala wa kisiasa na kimisri kuelekea kuimrisha mahusiano na nchi ndugu ,imeshaashiriwa kuhusu jinsi ilivyobadilisha ujuzi ,na kutolewa jambo ambalo limefanyawa na Misri katika kupambana na Virusi vya Corona kwa nchi za kiafrika juu ya kiwango cha shirika la kimchezo ).


Waziri wa michezo alionesha juhudi za Wizara ya vijana na michezo kwa uratibu na wizara ya afya ,na kushikilia kamati ya kimatibabu iliamua kuweka hatua ili kupambana na Virusi vya Corona kwa kuanzisha harkati ya kimchezo ,ilitegmea sayensi ya kimchezo na masomo ya kuandaa na kupanda ,na kugawanya michezo tofauti , akiashiria kwa ushirkiano na vipande vyote vya shirika la kimchezo ulifanya mafanikio ya kurudi harkati na kulazimisha kwa hatua za kitahadhari. 


Kwa upande wake ,Meja Jenerali Ahmed Naser mwenyekiti wa Shirikisho la Mashirikisho ya kiafrika na kimchezo ,michezo ni muhimu sana ulimwenguni ,na maonesho ya jarbio la kimisri katika kupambana na Virusi vya Corona juu ya kiwango cha shirika la kimchezo na kimisri katika mkutano wa kimataifa ,umakini wa Shirikisho la kiafrika kwa tibabu ya kimchezo katika jarbio ulizingatia mafanikio bora zaidi kwake ,mkutano unakuja kusisitiza juu ya ushirikiano bora na uratibu wa juhudi kati ya shirika la Afya na michezo .


Katika mazungumo yake kupitia video Conference,mwenyekiti wa Shirikisho la kiafrika kwa tibabu ya kimchezo alisifu matokeo ya mkutano ambao inaangalia hatua za kitahadhari ili kupambana Virusi vya Corona kupitia maonesho (jarbio la kimisri ) ,akieleza kuanzisha Virusi vipya vya Corona na awamu ya pili na idadi ya mambukizi ambazo nchi zinashuhudia mnamo muda wa kisasa .


Alisisitiza dhraura ya kulazimisha kwa hatua za kitahadhari kwa kinga kutoka Virusi vya Corona kupitia kuvaa maski ,kutumia antisiptics ,kuhifadhi juu ya umbali kati ya watu , akiashiria kuwa malengo makuu kwa Shirikisho ni mwongozo ,kinga ,hatua za kitahadhri ,na kujali na kutafuta ,akitumaini mkutano mzuri kwa washirki wote .


Dokta Khaked Msood alieleza kuwa Shirikisho la kiafrika kwa tibabu ya kimichezo imeshaanzishwa mnamo 1982 nchini Algeria ,makoa mkuu ilikuwa mkoani Kairo , alishiriki katika mikutano ya kibara kwa tabibu la kimchezo , mtazamo wake ni umrushaji tibabu la kimchezo barani Afrika .


Mwenyekiti wa idara ya kati kwa tibabu la kimchezo aliongeza kuwa Shirikisho la kiafrika kwa tibabu la kimchezo chini ya Virusi vya Corona ,imenufika kutoka hatua hizi ambayo ilizitanganzwa na Wizara ya vijana na michezo ya kimisri na imefasiri kwa lugha mbili Kiingereza na Kifaransa ,na kutolewa nchi za kiafrika kama mwongozo ili kupambana Virusi vya Corona juu ya kiwango cha harakati tofauti za kimichezo ,mwongozo huo ulijumuisha hatua zinazohusiana na hatua za kitahadhari kwa kurudisha harakati katika vituo vya vijana ,klabu , mashirikisho ,timu ,kumbi za mazoezi ya viungo ,vituo vya maendeleo , mashirika yanayofuatilia Wizara .



Mkutano ulishuhudia kuheshima idadi kadhaa ya waliohudhuria ,ulijumuisha Mwenyekiti wa Shirikisho la kiafrika kwa tibabu la kimchezo ,mwenyekiti wa Shirikisho la Mashirikisho ya kiafrika na kimichezo , Mwenyekiti wa kifaa cha kimchezo ya kijeshi ,wajumbe wa kamati ya juu ya kimatibabu katika wizara ya vijana na michezo ,kamati ya juu ya kimatibabu katika wizara ya vijana na michezo ,kamati ya kimatibabu kwa michuano ya dunia kwa mpira wa mikono ,kundi la wawakilishi wa mabolozi wa nchi za Kiafrika nchini Misri , Mwakilishi wa shirika la afya duniani nchini Misri ,wajumbe wa ofisi ya kiutendaji kwa shirkisho la Kiafrika kwa tibabu ya kimichezo ,idadi ya misimbo ya tibabu la kimchezo na wakuu wa Mashirikisho ya kiafrika na kimchezo .

Comments