Muhamed Fadl "Meneja wa michuano ya kombe la mataifa ya
kiafrika "aliangalia kufuatilia maandalizi ya mwisho ya shughuli za
maendeleo za uwanja wa Kairo.
Fadl alizuru uwanja pamoja
na Mustafa Azaam "Msaidizi wa rais wa tume iandaayo", Ahmed Abdulaah
"Rais wa tume ya viwanja vya mazoezi na mechi", Hossam Elzanaty na
Ahmed Ezz Eldin "Wasaidizi wa Meneja wa michuano".
Na bwana Fadl alitafutia
shughuli katika uwanja ili kutumaini juu ya hali yake ya mwisho kabla ya
kuupelekea Shirikisho la kiafrika la Soka kwa njia rasmi kabla ya kuzindua
michuano kwa siku nane (8) kulingana na sheria za (KAF).
Na majengo yalidhihirika
katika hali nzuri sana na kubaki mambo madogo yanayohusu uwanja wa Kairo ili
uwe katika umbo lake la mwisho kulingana na yaliyoainishwa toka tume iandaayo
katika mpango wa kuboresha viwanja vya Misri ili kukaribisha kombe la
mataifa.
Na Fadl alikutana na Dokta Ashraf Sobhy "Waziri wa vijana na
michezo "katika makao makuu ya taasisi ya uwanja baaada ya kutafutia
maendeleo ili kuweka mambo ya mwisho kwa umbo la uwanja wa kimataifa wa Kairo
ili kukaribisha mashabiki baada ya siku chache katika siku ya ufunguzi wa
michuano.
Comments