Mawaziri wa Vijana na Mshikamano na Gavana wa Kairo washuhudia Tamasha la Qaderoun Bikhtlaf kwenye Mto Nile
- 2020-11-01 11:49:13
Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo, Meja Jenerali Khaled Abdel Aal, Gavana wa kairo, na Dokta Nevin Al-Kabbaj, Waziri wa Mshikamano wa Jamii, mbele ya Dokta Hayat Khattab, Mkuu wa Kamati ya Parlampiki ya kimisri na Seneta, na Mhandisi Amal Mobde "Mkuu wa bodi ya wakurugenzi wa Shirikisho la kimichezo la kimisri kwa Ulemavuwa kikakili , Tamasha la kuogelea katika maji ya Mto Nile kwa kichwa cha "Qadroon Bikhtlaf kwenye Mto Nile" kinachofanyika pembezoni mwa sherehe za Misri za Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu, "Qadroon Bikhtlaf."
Sobhy alielezea furaha yake kushiriki katika tamasha hilo linalofanyika pembezoni mwa sherehe ya Misri ya toleo la tatu la Qaderoon Bikhtlaf, inayofanywa chini ya ulinzi na kuwepo kwa Rais Abd El Fatah El-Sisi, ambayo imepangwa kufanyika Desemba ijayo.
Akiongeza kuwa inachukuliwa kuwa ujumbe wa amani kutoka Misri kwenda nchi za Bonde la Mto Nile, ambapo watu wa Misri wenye uwezo maalum "ulemavu wa akili" hubeba bendera za nchi zinazoshiriki Mto Nile, na ambayo vijana na wasichana 30 wenye uwezo maalum "ulemavu wa akili" wanashiriki.
Mwisho wa tamasha, washiriki wenye Ulemavu na wakufunzi wao waliheshimiwa.
Comments