Waziri wa michezo akutana na Mashirikisho ya kimchezo ya kiafrika

Waziri wa vijana na michezo Dokta Ashraf Sobhy alifanya mkutano na wakuu wa Mashirikisho ya kiafrika na wenye madaraka ;kujadili mafaili muhimu kadhaa na hivyo ilikuwa huko makao makuu ya Wizara . 


Wakuu 45 wa Mashirikisho ya kiafrika , wenye wa madaraka ,idadi ya wahusika wa Wizara ya vijana na michezo ,watangazaji na waandishi wa habari wanaojali katika suala la kimchezo walihudhuria mkutano huo .


Mwanzoni mwa mkutano , Waziri huyo aliashiria utiliaji muhimu wa Wizara juu ya kuendelea ushirikiano wake na uratibu wake wa daima na mashirika tofauti ya kimchezo , kitaifa na kiafrika,ambapo juu yao hupatikana Muungano wa Mashirikisho ya kiafrika; kwa ajili ya kuimarisha  kuwepo kwa Misri katika michezo ya kiafrika, linalosababisha  kuongeza idadi ya makao ya mashirikisho ya kiafrika kwenye Jamhuri ya kiarabu ya Misri na yamezaidi kutoka 14 mpaka Mashirikisho 37 .


Pia Dokta Ashraf Sobhy alisistizia dhraura ya kuwawezesha viongozi na vizazi vifutavyo na kuimarisha  upendo kati ya mashirkisho ya kimisri na Mashirikisho ya kiafrika chini ya maoni ya mtazamo wa Rais Abd El-Fatah El-Sisi, Rais wa Jamhuri, unaoangalia kuunganishwa na ndugu  waafrika katika nyanja tofauti ukiongozea na uanzishaji wa shirika la kimisri la kimichezo  barani Afrika katika nyanja tofauti  za shughuli za kimchezo.


Kwa upande wa linalohusiana na uungaji mkono unaotarajiwa kutoka Wizara ya vijana na michezo kwa makao ya mashirikisho ya kiafrika yuko nchini Misri katika mraba wa chanagamoto ambayo imezipambana ,Waziri Dokta Ashraf Sobhy alisistiza kuwa Wizara inatafutia njia za kuongeza uhamsishaji unaoelekezwa  makao yake, akisisitiza kuwa Wizara ya vijana na michezo haitoshelezi juhudi ili kusaidia makao yote yanayokuwepo kwenye Jamhuri ya kiarabu ya Misri .


Pia Waziri huyo, Dokta Ashraf Sobhy alieleza  maoni yako kwa kuanzisha mkusanyiko nchini Misri unajumuisha mashirikisho yote ya kiafrika akisisitiza  dharura ya kushika vizuri  ndota ile .


Pia Waziri huyo alisisitiza dharura ya ubadilishaji wa uzoefu kwa ajili ya kufikia mtazamo kamili ili kuhamsisha kuwepo kwa siku za usoni kwa kiwango kikubwa kutoka sasa hivi barani Afrika .


Kwa upande wake Meja Jenerali Ahmed Naser Mkuu wa Konfedralia ya kimichezo na kiafrika (OXA) ,alisifu  uhamsishaji wa Wizara ya vijana na michezo wa daima kwa makao ya mashirikisho ya kiafrika kwenye Jamhuri ya kiarabu ya Misri kupitia umirishaji wa kuunganishwa kwa kimisri na kiafrika kupitia michezo kama nguvu laini .


 Wakati wa kauli yake , Meja Jenerali Ahmed Naser aliashiria  kuna baadhi ya Mashirikisho hayana makao na mengine yana makao, linalohitaji kutoa juhudi zaidi katika suala hii ,pia Meja Jenerali Ahmed Naser alisisitiza dharura ya kuhifadhi  rasilimali ya kiafrika kutoka viongozi wamisri katika mashirikisho ya kiafrika .


Na linalohusiana na wawakilishi wa Misri katika mashirikisho ya kiafrika ,Meja Jenerali Ahmed Naser alitaja kuwa idadi ya wawakilishi wamisri katika mashirikisho ya kiafrika ilifikia kiasi wamisri hamsini, akisifu  jukumu chanya kwa wakuu na wawakilishi wamisri wa Mashirikisho.


Ikumbukwe kuwa mkutano huo unazingatiwa mkutano wa zamu ya tatu kati ya Waziri wa vijana na michezo na wakuu na wenye wa madaraka katika mashirikisho ya kimichezo ya kiafrika .


Waziri Mheshimiwa alisikia kwa mambo yaliyotolewa na idadi ya wakuu wa Mashirikisho ya kiafrika Dokta /Wageh Azam Mwenyekiti wa Shirikisho la kiafrika kwa Baiskeli ,Dokta Haya Khatab Mwenyekiti wa Shirikisho la kiafrika kwa mpira wa wavu , Bwana Ehab Eisawi Makamu wa Mwenyekiti wa Shirikisho la kiafrika kwa mazoezi ya viungo vya miwili , Bibi Mervet Hassanen, Mjumbe wa Shirikisho la kiafrika kwa Silaha na Dokta Emmad Elbnani katibu mkuu wa UCSA .


Comments