Amir Meabed afikia nafasi ya nne katika Michuano ya dunia ya michezo ya uzima wa mwili huko Uhispania


 Amir Meabed alifikia nafasi ya nne katika Fazik kwenye Michuano ya kombe la Dunia la uzima wa mwili inayofanywa sasa hivi katika mji wa  Suwazna wa kihispania  itakayoendelea mpaka tarehe 9 mwezi huu wa Novemba kwa ushirikiano bora wa timu ya kimisri ya mabingwa nao ni :- Said El-Nasr , Yasser Otba , Ahmed Samy , Amr El-hadidi , Said Baharia , Sheif El- shiwy , Hamdy Ghanm , Hany Mutemed , Ahmed Muhammed Abdel-aziz , Srag El-den Taha , Fady Muhammed , Hisham Abu El-dahab , Mustfa El-kashf , Hamdy Nofal , wael Yousef , Muhammed shaban , Emad Mahmud , Muhammed Nashat , Muhammed Hukm . 


Ikumbukwe kuwa bingwa Mmisri Amir Muabd ana umri wa miaka 55 , alianza kucheza mchezo huo tangu mwanzo wa miaka  ya thamanini na bado akiendelea kushirikiana katika Michuano ya ulimwengu kuanzia  2007 mpaka sasa katika Michuano ya  mabingwa . 


 Kwa upande wake , Dokta Adel Fahem alisema kuwa mafanikio ya mabingwa wetu  katika michuano ya kombe la dunia la sasa la mchezo wa uzima wa mwili  ndio ni  Muujiza, na  Amir Mabd alikuwa mfano bora akifikia nafasi ya nne katika michuano ya kimataifa . 


 Na katika muktadha huo huo " Mobd " alielezea furaha yake kwa ajili ya kufikia nafasi ya nne katika tukio kubwa zaidi la kimataifa  katika mchezo wa uzima wa mwili , akisisitiza kuendelea kwake kucheza mchezo mpendwa kwake  tangu utotoni na moyoni mwake hukuwepo matumaini ya kufikia nafasi ya kwanza .

Comments