Ahmed Ahmed anaishukuru Misri na anayasifu maandalizi ya michuano ya Afrika 2019.

Ahmed Ahmed,"rais wa Shirikisho la Soka la kiafrika", alishukuru nchi ya kimisri na Rais Abdel Fattah El-Sisi rais wa Jamhuri  , na mamlaka zinazohusika kwa msaada endelevu  na kazi kubwa ya mafanikio ya michuano ya Mataifa ya kiafrika ilinaandaliwa kwa Misri mwezi huu.

 

Rais wa Umoja wa kiafrika pia alishukuru  Mhandisi Hany Abu Reda "rais wa Kamati iandaayo Michuano na Kundi la shughuli" juu ya  juhudi kubwa hii ,  na hayo yote yalitokea wakati wa hotuba yake mbele ya  jumia  kuu ya Umoja wa kiafrika uliofanyika kwa upande wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka la Kimataifa huko Paris.

Comments