Kumalizika tiketi za mechi Misri dhidi ya Zimbabwe kwa ukamilifu katika ufunguzi wa Mataifa ya Afrika

Kampuni ya "tiketi yangu" imetangaza kumalizika   tiketi za mechi ya ufunguzi wa michuano ya mataifa ya Afrika2019, kati ya  Misri na Zimbabwe  kwa ukamilifu katika  inayopangwa 21 Juni huu katika uwanja wa kairo, Ambapo tiketi za mechi  hii ziliuzwa kupitia mfumo wa tiketi yangu.

 

Maafisa wa kampuni ya  utekelezaji  wa mfumo "tiketi yangu" walitangaza kuwa itakuwa nia ya kutosha kwa kichapisha tiketi, kulingana na uwezo kamili wa kila uwanja toka viwanja  vyenyeji vya michuano ya Mataifa ya Afrika 2019 bila kuongeza, hata watazamaji wote wanapata mahali pa kukaa juu  ya viti vyao wakifuatia mechi, na pia kuzuia migogoro yoyote ndani ya viwanja kuhusiana na  mahali pa  kukaa na kuwepo kwa viwanja.

 

Kampuni hiyo ilitangaza utoaji wa huduma ya kufikia teketi hadi nyumbani kwa mara ya kwanza, Ili kurahisisha jambo hilo  kwa mashabiki wanaotaka kuhudhuria mechi za timu ya kimisri..

 

Na mahali pa kuuza tiketi paliainishwa kama vifuatavyo:

 

daraja la kwanza: matawi ya Orange yafuatayo :  (Heliopolis, Nasr City, El Tagamua, El Rehab, Dokki, Downtown, Zamalek, El Manial, Abbaseya, Shoubra, 6 Oktoba, El Haram, Maadi & Mokattam, Alksandaria, Ismailyia, Suez).

 

Daraja la Pili na tatu : vituo vyote  vya vijana  vifuatavyo (Al-jazeera - Olimpiki cha El- Maadi – klabu ya Suez - Sheikh Zayed huko Ismailia -  mtaa wa Sita huko oktoba – klabu ya wamiliki wa farasi(Ashabu Eljyaad) huko smoha  - klabu ya Al-Shams.

Comments