Leo, siku ya Alhamisi, Basi la timu ya Misri ya kwanza lilielekea kwa mji wa Borg Al Arab Karibu na Aleksandria ili kukaa katika hoteli moja hata kuanza kambi la Farao, katika maandalizi ya fainali za Kombe la Mataifa ya kiafrika ya 2019.
Javier Aguirre,
kocha Mekseko wa timu ya Misri,
alichagua orodha ya wachezaji 25 wa kambi ambayo itapunguza kwa wachezaji 23
ambao ni wenye nguvu zaidi wa timu katika mataifa ya Afrika 2019,na majina yaliyochaguliwa ni:
Golikipa :
Ahmed El Shenawy (Piramidiz) - Mohamed Shennawy (Al Ahly) - Mohamed Abu Gabal
(Smouha) Mahmoud Abdel-Rahim "Jinsh" (Zamalek).
Beki :Ahmed
Al-Muhammadi (Aston Villa) Ahmed Hijazi
(West Bromwich) - Mahmoud Alaa (Zamalek) – Baher El Mohammadi (Ismaily) -
Mahmoud Hamdi «Winch» (Zamalek) - Ahmed Ayman Mansour (Piramidiz) - Omar Jaber
( Piramidi) - Ayman Ashraf (Al Ahly) - Ahmed Abu El Fattouh (Smouha).
Mstari wa kiungo: Mohamed Elneny (Arsenal) -
Tariq Hamid (Zamalek) - Ali Ghazal (Fferinsa Kireno) - Nabil Imad «Dunga»
(Piramidiz).
Vyama vya
Mashambulizi: Walid Sulaiman (AlAhly), Abdullah Al Saeed (Pyramidz), Mohammed
Salah (Liverpool ya Kiingereza ), Mahmoud Hassan “Trezeguet” (Kassem Pasha Al
Turki), Amr Warda (Atromitos ya kiroma).
Washambuliaji:
Ahmed Ali Kamel (Almukaweelun AL arab) - Marwan Mohsen (Al Ahly) - Ahmed Hassan
Koka (Sporting braga)
Timu ya Misri itacheza mechi mbili za kirafiki
dhidi ya Tanzania na Guinea mnamo tarehe za 13 na 16 mwezi wa Juni huu, na mnamo yake Aguirre ataamua orodha ya mwisho na kuwatenga wachezaji
wawili ili kupeleka orodha ya majina 23
kwa Shirikisho la Soka la kiafrika
(KAF)" katika siku ya 11 Juni .
Comments