Waziri wa michezo na Mwenyekiti wa Shirikisho la kimataifa la mpira wa mikono pamoja na kamati iandaayo watafutia maandalizi ya mwisho kwa michuano ya dunia kwa mpira wa mikono 2021

Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo na Dokta Hassan Mustafa Mwenyekiti wa Shirikisho la kimataifa la mpira wa mikono pamoja na kamati iandaayo michuano ya dunia kwa mpira wa mikono walijadili vitu vipya zaidi, maandalizi na mambo yanayohusiana na kukarbisha tukio .imeamuliwa kukarbishwa na Misri wakati wa mapema mwaka ujao .

Mwanzoni mwa mkutano , Waziri wa vijana na michezo Ashraf Sobhy alieleza taratibu ambazo zimechukuliwa na serkali ya kimisri hivi karibuni kuhusu kusisitiza  hatua za kutahadhari na kinga kutoka Virusi vya Corona ,akieleza uwezo wa nchi kwa kushughulikia kwa nguvu na wakiukaji haswa wakati wa kufanywa michuano na majira ya masika. Waziri huyo alimwambia Mwenyekiti wa Shirikisho la kimataifa la mikono kuhusu maandalizi yote kwa michuano kuanzia kufika timu na ujumbe zinazoandamana na hoteli ,kumbi za mazoezi ,kumbi za kufanywa mechi mpaka kumaliza matukio na kuondoka ujumbe zote .

Dokta Ashraf Sobhy alielezea shangwe yake kubwa ya MiundoMbinu ya kimchezo jinsi inavyofikia haswa kumbe nne zinazokaribisha michuano ya dunia kwa mpira wa mikono na mafanikio yake, hivyo kwa sababu michuano mikubwa katika nyanja tofauti inakuza MiundoMbinu .

Kwa upande wake ,Dokta Hassan Mustafa alitoa shukurani kwa Rais, Mwenyekiti wa serkali na Waziri wa vijana na michezo na mawaziri wote wanaohusika ,ili tamaa yao juu ya kutokeza michuano kwa sura nzuri zaidi ingawa Virusi vya Corona ,akisistiza hakuna tatizo haswa kwa timu mpaka wakati huo .

Mwenyekiti wa Shirikisho la kimataifa la mpira wa mikono alisisitiza mawazo ya kuzungumzia mashirika ya kimataifa ya chanjo ili kutosheleza chanjo kwa timu na waandamana wote kwa utaratibu na serkali ya kimisri inawakilisha katika Wizara ya vijana na michezo .


Hiyo ilikuja wakati wa mkutano wa wiki inayofanywa na Waziri wa vijana na michezo pamoja na kamati iandaayo  michuano ili kusimama  maandalizi ya mwisho inayohusiana na michuano .


Dokta Hassan Mustafa, Mwenyekiti wa Shirikisho la kimataifa la mikono ,Hesham Nasr, Mwenyekiti wa kimisri kwa mpira wa mkono ,Kocha Hassein Labib, Mkurgunzi wa michuano ,Dokta Ahmed El Sheikh, Mkurugunzi Mtendaji kwa Wizara na viongozi wa Wizara ya vijana na michezo na wakuu wa kamati zinazohusiana walihudhuria mkutano huo.

Comments