Waziri wa michezo asifu Fainali ya kihistoria kati ya pande mbili ...na mafanikio mazuri ya kuandaa mechi
- 2020-11-28 21:31:18
Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo alisifu kwa hali iliyoshuhudiwa na mechi ya Alahly na Zamalak ambayo imefanyawa katika Fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa wa Al-Ahly katika uwanja wa kimataifa wa Kairo ,na imemaliza kwa ushindi wa Al-Ahly kwa mabao mawili dhidi ya bao kwa timu ya Zamalak .
Sobhy alisifu ushindi kati ya wachezaji wa pande mbili ,na roho ya kimchezo iliyokuwa anwani ya mechi ikisistiza juu ya thamini ya mpango wa Misri ipo kwanza , sio Msimamo mkali ,akitumaini mafanikio kwa timu mbili katika michuano yanayokuja na akipongeza mashabiki wa klabu ya Al-Ahly kwa ushindi kwa michuano na mashabiki wa klabu ya Zamalak kwa juhudi nzuri katika michuano .
Alieleza kuwa uratibu ulifanyaka na mashirika mbali mbali yanayohusiana kutoa mechi kwa sura nzuri inayowaridhisha mashabiki wa mpira wa kimisri na kiafrika miongoni mwa mpango wa bima ya matibabu kwa mechi ,na hivyo kupitia utakasaji wa nyanja za mpira ,vyumba vya nguo , njia za kuingia na kutokea kwa wachezaji na mahali ya kufanya kwa mkutano wa uandishi wa habari .na kutosheleza mahali tatu za kimatibabu zinajumuisha dawa na mahitaji za Kinga na kutosheleza zahanti tatu zinajumuisha idadi za kutoka timu za kimatibabu na dawa na mahitaji yote ya kimatibabu na Kinga na magari 10 ya wagonjwa ,na kuna moja ina utakasaji na timu za wajitolea kwa kufuata hatua za kitahadhari na kujulisha hadhira mpaka kumaliza mechi na kuondoka hadhira.
Dokta Ashraf Sobhy alisistiza kuwa Misri inashinda leo kwa uwezo wake kwa kuhakikisha mafanikio mazuri ili kumaliza michuano ya kiafrika akisisitizia uwezo juu ya kukarbisha na kuandaa kikubwa kwa michuano , akiashiria kuwa utendaji nguvu kutoka pande za timu ya Zamalak na Al-Ahly uliongeza kwa thamani ya mechi ambazo nchi nyingi zilishuhudia katika sura iliakisi maendeleo ya Soka ya kiafrika kwa jumla ,haswa Soka ya kimisri .
Waziri wa vijana na michezo alishuhudia sherehe za medali za dhahabu na kombe la michuano kwa wachezaji wa Al-Ahly baada ya mechi kwa ushiriki wahusika wa Shirikisho la Kiafrika kwa Soka ,Mahmoud Alkhatib Mwenyekiti wa Klabu ya Al-Ahly ,Amr Elganayeni Mwenyekiti wa Shirkisho la Kimisri kwa Soka .
Sobhy aliongeza kuwa Shirika la Soka ya kimisri linastahili pongezi na kusifu mafanikio bora ambayo michezo ya kimisri ilipatia leo sio pande mbili tu ili kusistiza daima juu ya uongozi wa kiafrika , sifa ya dunia ,michezo na Misri akisistiza kuwa hakika Misri ipo kwanza sio Msimamo mkali.
Comments