Timu ya kitaifa ya Misri ya wapandaji farasi yaweka mafanikio mapya na kufikia nafasi ya tano kwenye kombe la dunia huko Uhispania
- 2020-12-05 10:45:26
Timu ya kitaifa ya Misri ya wapandaji farasi iliweza kuongeza mafanikio mapya kwa rekodi ya mafanikio yake ya mwisho haswa hatua ya kuvuka olimpiki ya Tokyo kwa timu kamili baada ya kutokuwepo miaka sitini tangu olimpiki ya Tokyo 1960 , ushindi wa kwanza kwa kombe la kimataifa katika historia ya Misri ya wapandaji farasi wakati ushirikiano wake katika kombe la kimataifa huko Morocco mnamo Oktoba 2019 .
Timu ya wapandaji farasi inayojumuisha wapandaji farasi wa kimataifa " Abdelkqder said , Muhammed Taher zyada , Kareem El-zaghby na Sameh El-dhan iliweza kufikia nafasi ya tano kwenye michuano ya kombe la kimataifa katika kiwango cha timu za ulimwengu inayofanyika sasa hivi mjini mwa Bershlona huko Uhispania ambayo hushirikishwa na nchi 17 zinazojumuisha mabingwa wa ulimwengu wa upandaji farasi nazo ni Ujerumani , Denmark , Ireland , Brazil , Uingereza , Italia , Uholanzi , Ubelgiji , Ufaransa , Argentina , Canda , Japan , Sweden , Ureno , Morocco na Uhispania nchi inayokaribisha Michuano .
Timu ya kimisri iliweza kufikia nafasi ya tano ili kuja baada yake nchi zenye uwezo zaidi katika michezo ya upandaji farasi na mabingwa wa ulimwengu ambapo Misri ilikuja kwenye nafasi iliyofuata Uingereza , Italia , Ubelgiji , Uholanzi na Ufaransa nazo ni pamoja nchi zilizoshinda Misri katika duru ya michezo ya bahari ya Mediterranean huko Uhispania , linalosisitiza mafanikio na maendeleo ya timu ya kitaifa ya Misri ili Misri kuja mbeleni kabla ya ufalme wa Morocco , pamoja na ushindi wa timu ya kitaifa ya Misri kwa nchi ya Ujerumani nayo ni nchi itakayokaribisha olimpiki ijayo , licha ya timu ya kimisri ni timu pekee katika michuano ambayo iliyovuka kwa duru ya pili bila ya makosa na ifikie nafasi ya kwanza bila ya makosa baada ya duru ya kwanza .
Vilevile , ufikaji wa timu kikamili ambapo wapandaji farasi 4 walivuka kupitia michuano ya timu katika mashindano ya tuzo kubwa yanayofanyika siku ya Jumapili , pamoja na uvukaji kwa wapandaji farasi wengine nao ni Muhammed Tarek Talaat na wael
El-mahgary kwa tuzo kubwa pia .
Idadi ya wapandaji farasi wamisri wanaopandishwa inafikia15 % takribani na hiyo inazingatiwa idadi kubwa zaidi kwa nchi kulingana na nchi zinazoshiriki zinazofikisha michuano ya tuzo kubwa .
Comments