Ufunguzi wa michuano ya Afrika kwa mpira wa kikapu kwa Wachipukizi vijana na wasichana katika uwanja wa kimataifa wa Kairo
- 2020-12-05 10:51:55
Michuano ya Afrika kwa mpira wa kikapu kwa Wachipukizi vijana na wasichana chini ya miaka 18 ilifunguliwa Alhamisi jioni katika ukumbi namba 3 miongoni mwa nyanja katika uwanja wa kimataifa wa Kairo ,na inaendelea hadi tarehe mwezi huu .
Sherehe ya ufunguzi ulikuwa rahisi ,na ilishuhudia foleni ya maonesho ya nchi zinazoshiriki ,na onesho la sanaa ilichukuliwa kutoka ustarabu wa kifarao .
Dokta Magdy Abu Frekhh, Mwenyekiti wa Shirikisho la kimisri kwa mpira wa kikapu alisema neno la ukarbishsji kwa hadhira nchini Misri ,na alitumai mafanikio kwa timu zinazoshiriki ,na mashindano kwa uhamsishaji wa kimichezo .
Pia Adel Toaima, Katibu mkuu msadizi wa Shirikisho la kiafrika alitoa shukurani katika hotuba yake kwa uongozi wa kimisri ,na jukumu lake katika ukaribishaji wa michuano ya kimichezo ,na kukaribisha kwa wageni wake .
Kwa upande wa Wachipukizi,timu za Mali ,Sengal ,Guinea na Misri inayokaribisha ,zinashiriki katika michuano, ama timu ya wasichana ,michuano inajumuisha Misri ,Sengel na Mali ,imeamuliwa wenye nafasi za kwanza na pili katika michuano watafikia kombe la dunia kwa mpira wa kikapu .
Kamati iandaayo michuano inayoiongozwa na Mohamed Fathi na Khaled ElQosi, mjumbe wa baraza la idara ya Shirikisho la kimisri kwa mpira wa kikapu , ilitilia umuhimu wa kuhakikisha kutoka kufanya kwa timu zote kwa kuchukua hatua za kitahadhari na hatua zinazohusiana na Virusi vya Corona , na inasubiri matokeo .
Mohamed Elkrdani anaongoza timu ya Misri kwa vijana kama, Mkurgunzi wa kiufundi , na wasadizi wake ni Ayman Elmtrawi ,Wael Badr ,Mohamed Abo friekhh na Mohamed Ataf.
Comments