Waziri wa michezo apongeza Klabu ya Al Ahly kwa ushindi wake kwa kombe la Misri na ashuhudia sherehe ya kutawazwa huko Borg Alarab
- 2020-12-06 20:39:27
Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo alitilia umuhimu kwa pongezi ya klabu ya Al Ahly kwa ushindi wake katika mechi ya Fainali na kupata kwake kombe la Misri .
Waziri alishuhudia kutoa kombe la Misri kwenye Uwanja wa mpira wa Borg Alarab mkoani Aleskandaria baada ya kumaliza mechi kati ya timu mbili za Al Ahly na Talaiy elgesh ,na ilimaliza kwa ushindi wa Al Ahly kwa penalti.
Waziri huyo alitilia umuhimu kwa mahudhurio ya mechi pamoja na Meja Jenerali Hossam Ali Badr, Naibu wa Rais wa Jamhuri , Mhandisi Hesham Hatab, Mwenyekiti wa kamati ya kiolompiki ,Kanali Sabry Mselihi, Mwenyekiti wa kifaa cha michezo cha kijeshi ,Amr Elgnaieni, Mwenyekiti wa Shirikisho la Mpira , na Mahmoud Elkhatib, Mwenyekiti wa Klabu ya Al Ahly .
Dokta Ashraf Sobhy alisifu uhamasishaji wa kimchezo ulioenea wakati wa mechi au baada yeke ,na picha nzuri sana ambao wachezaji waafrika walionekana katika mechi yote ,katika sherehe ya kupatia kombe na medali ,aliashiria kuwa hali hii ni jambo ambalo Wizara ya vijana na michezo inaitafuta ili kuienea katika mashindano yote na mechi katika mraba wa mpango wa " Misri ipo kwanza, La kwa Msimamo mkali " ,alitoa pongezi kwa Klabu ya Al Ahly kwa ushindi kwa kombe la Misri .
Pia Waziri huyo alithamini mafanikio ya msimu wa mpira 2020-2019 ingawa changamoto na hali ambayo Janga la Virusi vya Corona iliziweka ,akiashiria kuwa kurudi kwa harakati ya kimchezo mwaka huu juu ya kiwango cha kila mwaka kwa soka na mashindano ya kombe la Misri na kulazima kuchukua hatua za kitahadhari ambayo Wizara ya vijana na michezo ilizitangaza zilikuwa na athari kubwa katika maendeleo ya timu za kimisri zinazoshinda katika michuano ya kiafrika ,pia maendeleo ya timu ya kwanza kwa Soka na timu ya kiolompiki .
Comments