Habari za Jengo la idhaa na runinga (Maspiro) yemejumuisha
kukubali kwa Mohamed Nouar" rais wa idhaa ya Misri' kwa mpango wa Mitandao ya Vijana na Michezo
ili kufikia shughuli za Kombe la Mataifa ya Afrika ambayo itazinduliwa katika
kairo mwezi ujao.
Najla Abdel Bar, mkuu wa mtandao wa vijana na michezo,
alisema kuhusu mpango wa chanjo kwamba,
mwanzo wa maandalizi ya kusanya tukio hilo ulianza tangu wakati ulipotangaza
ushindi wa Misri kwa faili ya utekelezaji wa mashindano makubwa Ambapo mtandao umejitolea programu za hewa,
vipindi na maonyesho mengine ya mazungumzo ili kushughulikia maelezo yote ya
mashindano hayo
Aliashiria kwa utekelezaji wa mpango wa kufunika matukio ya
mashindano hayo
Kupitia mipango na vipindi mbalimbali kama: kipindi cha
Habari za Afrika, ambayo ni saa ya habari kuhusu maandalizi ya mashindano
kupitia vichwa vya vyombo vya habari vya Kiarabu na vya kigeni .. kipindi cha
matarajio "Ninatarajia" kuonyesha matarajio ya mashabiki na wakosaji
wa michezo na matokeo yao, na kipindi cha mpira mweusi , Sehemu ya matunda ya
kijani na kufunika matukio ya uwanja mkuu, Na asubuhi ya Afrika na kupitia
mafaili ya soka kwa ajili ya michuano na matukio ya mashindano, kipindi ambacho
kinachunguza mavuno(matukio) ya michezo kwa utaratibu, Aliongeza kuwa mtandao
utatoa mfululizo wa mipango mifupi, ikiwa ni pamoja na mashindano na takwimu
zinazotolewa na kapteni Tarek Adour,referi wa Afrika anatolewa na Kapteni Samir
Osman, Na Hisabati ya kiAfrika Imeandaliwa na Syed Hamid Pamoja na programu
nyingine kama Kora la hewa juu ya
barabara, na Misri imo ndani ya
Afrika.
Comments