Timu ya kitaifa ya Misri kwa wachipukizi wasichana wa mpira wa kikapu yafikia kombe la dunia
- 2020-12-10 09:39:45
Timu ya kitaifa ya wachipukizi wasichana imeweza kuhakikisha ifikie kombe la dunia kwa mara ya nne katika historia ingawa hasara yake mbele ya mwenzake wa Senegal kwa kutofautisha nukta tatu ambapo mechi ilimalizika iliyojumuisha timu mbili katika ukumbi namba 3 kwenye mkusanyiko wa makumbi ndani ya uwanja wa Kairo , kwa kushinda wasengal kwa matokeo 67-64 ,
Na timu mbili zimehakikisha kufikia kombe la dunia la wachipukizi wasichana linalopangwa kufanyika mnamo majira ya joto ijayo .
Matokeo ya mechi ya Senegal yalikuja kwa maslahi ya timu ya kitaifa ya Misri kwani ilishinda katika raundi ya kwanza iliyojumuisha timu mbili zile zile kwa tofauti nukta 6 , wasichana wa timu ya kitaifa ya Misri walikuwa na haja ya kushinda au kushindwa kwa tofauti ya chini kuliko zile nukta 6 ,na hilo linalofanyika kwa kushindwa kwa tofauti nukta tatu tu .
Timu za taifa Mali , Senegal na Guinea zilishiriki katika michuano pamoja na Misri ni mwenyeji na hiyo kwa kiwango cha wachipukizi vijana Ama katika mashindano ya wachipukizi wasichana , michuano inajumuisha Misri , Senegal na Mali , na inapangwa kuwa wachezaji waliofika nafasi ya kwanza na ya pili wafikie michuano ya kombe la dunia kwa mpira wa kikapu.
Timu ya kitaifa ya wachipukizi wasichana wa Mali ilihakikisha nafasi yake katika kombe la dunia na hiyo baada ya kufikia kwake kwa fainali ya michuano ambapo wasichana wa Mali walipata alama kamili.
Orodha ya timu ya Misri kwa wachipukizi wasichana inajumuisha :- Fatma Qabel , Salma Bahgt , Aya El-faqi , Sandy Abdelatef , Hager Yassen , Habiba Abdelhamed ,Hala Yassen , Yara Hussen , Menatullah El-gharini , Farida Mussad , Malk Sadk na farida Yousef .
Uongozi wa kiufundi wa timu ya kitaifa kwa wasichana ulichukuliwa na Sherif Azmy mkurugenzi wa kiufundi anasaidiwa na Mustfa Hudhud , Mustfa Fekri ,Maged Salama na Ahmed El-gzar . Vilevile ujumbe uliongozwa na Rehab El-ghnam mwanachama wa baraza la usimamizi wa Shirikisho la Misri kwa mpira wa kikapu .
Comments