Waziri wa michezo apongeza timu ya wachipukizi kwa wasichana kwa kutawazwa kwa michuano ya Afrika kwa mpira wa kikapu na kufikia kwao kombe la dunia
- 2020-12-10 15:23:24
Dokta Ashraf Sobhy , Waziri wa vijana na michezo alisisitiza kutawaza kwa timu ya Misri kwa wachipukizi kwa wasichana kwa michuano ya Afrika kwa mpira wa kikapu chini ya miaka 18 baada ya kushinda dhidi ya timu ya Mali katika Fainali ya michuano iliyofanyawa kwenye uwanja wa kimataifa wa Kairo inazingatiwa mafanikio makubwa kwa mpira wa kikapu wa Misri haswa baada ya kuwafikiwa fainali ya kombe la dunia ,hilo limekuja kupitia simu kwa waziri wa vijana na michezo na Dokta Magdi Abu Friekha Mwenyekiti wa Shirikisho la kimisri kwa mpira wa kikapu ili kumpongeza na wachezaji wote na kifaa cha kiufundi na kiutawala kwa timu ya kimisri kwa mafanikio hayo .
Akielezea furaha yake kwa utendaji bora wa timu ya kimisri na kuishinda dhidi ya moja ya timu kubwa katika mpira wa kikapu wa kiafrika nayo ni timu ya Mali na kufika timu ya kimisri kwa fainali ya kombe la dunia kwa mara ya nne katika historia ya wachipukizi wa wasichana wa Misri .
Lakabu hii ya kiafrika inazingatiwa lakabu ya pili kwa timu ya Misri katika historia ya mashindano ya michuano ya Afrika chini ya miaka 18 ,na lakabu ya kwanza kwa mafarao imehakikisha mnamo toleo la 2010 .
Comments