Mawaziri wa vijana na mshikamano washiriki katika "Mwenendo wa Misri" kwa ajili ya kujihusisha walemavu "
- 2020-12-21 11:45:29
Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo ,Dokta Neven Elkbag, Waziri wa mshikamano wa kijamii , asubuhi ya Ijumaa ,walishiriki katika mpango wa michezo ulifanyawa huko eneo la Piramidi kwa kichwa cha "Mwenendo wa Misri kwa ajili ya kujihusisha walemavu" kwa kuandaliwa na Wizara mbili za vijana na michezo , Utalii na vitu vya kale , Shirikisho la kimisri kwa ulemavu ,na mpango wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo .
Shughuli za Mwenendo hup zilijumuisha sherehe ya vipindi vya muziki na kundi la waimbaji, kisha kutoa maneno ya kukaribisha kutoka Waziri wa vijana na michezo , Waziri wa mshikamano wa kijamii , pamoja na Bwana Okhotem Shtainer, Mkurgunzi wa mpango wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo ,Maikal Hadad Balozi wa kikanda kwa hali ya hewa ,kwa mahudhurio ya Bi. Randa Abu Elhasan Mwakilishi kwa mpango wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo ,idadi ya viongozi wa Wizara , Mhandisi Amal Mbdy Mwenyekiti wa Shirikisho la walemavu ,na Bi. Haya Khatab Mwenyekiti wa kamati ya Parlampiki .
Pia kundi la wachezaji walemavu pamoja na kundi la wachipukizi na vijana limeshiriki kwa mpango kama ujumbe unaosisitiza kujihusisha walemavu katika mipango na harakati tofauti ,na kujumuisha kupitia mibinu ya teknolojia inayowasaidia.
Katika hotuba yake ,Dokta Ashraf Sobhy aliashiria uboreshaji wa nchi ya kimisri kwa pande zote na vipengele muhimu zaidi vya uboreshaji na makini ni mwanamke ,vijana na walemavu ,hivyo katika mraba wa maelekezo ya Rais Abd El Fatah El-Sisi, Rais wa Jamhuri .
Aliongeza kuwa kupitia njia zote katika wizara ya vijana na michezo ,kamati ya Parlampiki , Shirikisho la kimisri kwa walemavu ,na mipango ya maendeleo ya kimisri tunafurahi kushirikiana na mashirika yote katika kusaidia na kujali wana wetu wa ulemavu , akiashiria kuwa uwezo wao upo tayari kwa kuhakikisha mafanikio katika nyanja zote .
Kwa upande wake , Waziri wa mshikamano wa kijamii alisema :(kutoka hapa Piramidi tunajivunia kwa ushiriki katika mpango wa kimichezo na walemavu ,watu wenye azima na subira kama misingi ya lazima inayopaswa kupatikana kwa wanajamii wote ",kiasi kwamba ulemavu wowote hufuatilia nguvu fulani ,ujumbe huo wa kujumuisha na kushiriki kwa walemavu katika jamii unawajibika wakiwa wenye uwezo tofauti .
Aliashiria kuwa wakati huo ni wakati wa kazi katika nchi moja ili tukamlishane ,tuna harakati nyingi za kuwawezesha walemavu ,jumbe mzuri kuelekea aina hii ambayo inachukuliwa nafasi yake katika jamii katika nyanja zote , akiashiria walemavu ni rasilimali ya kibindamu na kiuchumi wana haki zote ambazo tunaziamini .
Pia ,Balozi wa kikanda kwa hali ya hewa alisema katika mpango wa Umoja wa Mataifa :"Nafurahi sana kwa ushiriki katika mpango wa Misri kwa ajili ya kujumuisha walemavu , nilishiriki leo kama balozi wa Umoja wa Mataifa aliyeweza kupambana na ulemavu wake kwa kila azima ", akiashiria kuwa walemavu tofauti yao ni nguvu ,"Kaderoon Bikhtlaf" " iliyozinduliwa na Misri itakuwa mfano mzuri kwa ulimwengu wote wa kiarabu .
Comments