Mswisi Gianni Infantino Rais wa Shirikisho la Soka la kimataifa
(FIFA)ameyasifu maandalizi ya Misri na kamati iandaayo kuzindua toleo jipya la
michuano ya Kombe la Mataifa ya kiafrika
hiko Misri 2019, itakayofanyika katika kipindi cha 21 Juni hadi 19Julai ijayo.
Mhandisi Hani Abu
Reda, "rais wa Shirikisho la Soka la kimisri " na mwenyekiti wa
kamati iandaayo, walifanyika kikao pamoja na Rais wa Shirikisho la Kimataifa
kulingana na ufunguzi wa michuano
ya Kombe la Dunia kwa Wanawake nchini Ufaransa, Na akamwelezea maandalizi ya Misri kwa mashindano.
Abu Reda alisisitiza kwa rais wa FIFA Kwamba Misri inaandaa
kushangaza ulimwengu kwa toleo moja bora Zaidi katika historia ya michuano ya
kombe la Mataifa ya Afrika, ambapo Infantino ameyasifu maandalizi,
akisisitiza kwa yakinii yake kamili katika
uwezo wa Misri wa kufanyika michuano ya kihistoria kwa kila maana.
Comments