Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo ,Mhandisi Hesham Hatab, Mwenyekiti wa idara ya kamati ya olimpiki ,Mhandisi Mutie Fakhr Eldin Elzahwi, Mwenyekiti wa idara ya Shirikisho la Judo ,Jumatano, walipokea ujumbe wa timu yetu ya kitaifa kwa Judo ,katika uwanja wa Kairo, kwa maua yaliyopamba wachezaji ,walioshinda kwa lakabu ya mashindano ya kiafrika namba 41, yaliyofanyawa nchini Madagaskar na yanayofikisha kikao cha michezo ya kiolompiki namba 32 ambao inakarbishwa na mji mkuu wa Japan Tokyo mnamo muda wa Julai 23 mpaka Agosti 9 zijazo .
Timi ilihakiksha mafanikio ya kihistoria kwa kupata medali tisa , Wachezaji tisa waliowakilisha Misri wameshahakikisha hivyo katika michuano ,kwa mara ya kwanza katika historia ya Shirikisho ,kwa medali tano za dhahabu, medali mbili za fedha na mbili za bronzi .
Ramdan Drwaish kwa michezo ya kunyanyua chuma kilo 100,Hatem Abd Elakher michezo ya kunyanyua chuma kilo 90 ,Abd Elrahaman Mohamed michezo ya kunyanyua chuma kilo 81,Mohamed Mohy Eldin michezo ya kunyanyua chuma kilo 73 ,Mohamed Abd Elmogod michezo ya kunyanyua chuma kilo 66 ,walipata medali tano za dhahabu ,Mohamed Ali Abd Alal michezo ya kunyanyua chuma kilo 81 ,Ahmed Ali michezo ya kunyanyua chuma kilo 66 ,walihakikisha medali za fedha ,Ali Hazam michezo ya kunyanyua chuma kilo 100 ,Ahmed Wahed michezo ya kunyanuyua chuma kilo 100 walishinda medali za bronzi .
Nchi 33 za kiafrika zilishirki katika michuano ,ujumbe wa timu yetu ya kitaifa ulijumuisha mtu 14 chini ya Uongozi wa Fawzi Elhlbawi mjumbe wa idara ya Shirikisho la Judo pamoja na David Marco ,Atef Mustafa kama makocha ,Mohamed Elhagri refa wa kimataifa ,Dokta Sherif Honhm mwenyekiti wa kifaa cha timu za kitaifa ,pamoja na wachezaji tisa Mohamed Abd Elmogod ,Ahmed Ali Abd Elrhamn michezo ya kunyunyua chuma kilo 66 ,Mohamed Mohi Eldin michezo wya kunyunua chuma kilo 73 ,Mohamed Ali Abd Alael ,Abd Elrhaman Mohamed michezo ya kunyunua chuma kilo 81 ,Hatem Abd Elakher ,Ali Hazam michezo ya kunyunua chuma kilo 90 ,Ramadan Drwesh michezo ya kunyunua chuma kilo 100 ,Ahmed Wahed michezo ya kunyunua zaidi ya chuma kilo 100 .
Ashraf Sobhy alielezea furaha yake kwa mafanikio hayo ambayo timu ya Judo ilihakikisha chini ya hali kali ambayo ulimwengu wote ulisumbuliwa ,akiashiria kuwa sio ajabu kwa wachezaji wamisri wanapinga hali ngumu ili kuwafikia medali dhahabu mbele ua timu ya Algeria iliyopata nafasi ya pili .
Alisisitiza kuwa Wizara haitakataa kwa mchezo yoyote kuhakiksha mafanikio kwa Misri kwa kuinua bendera yake katika sherehe tofauti na kibara ,na Waziri aliahidi kwa kufanya sherehe katika Wizara ili kuwaheshimu kwa mafanikio hayo .
Kwa upande wake ,Mhandisi Hesham Hatab alisema nchi inasaidia mabingwa wote ,na haikatai kwa kutoa aina zote za msaada kama fedha ,na uhamisishsji na akisisitiza kubwa mihangaiko ya idara ya Shirikisho kuwafikisha wachezaji watano kwa kikao cha kiolompiki inazingatiwa mafainikio makubwa kwa idara chini ya uongozi wa Mhandisi Motie Fakhr Eldin Elzahwi .
Kwa upande wake ,Mhandisi Motie Fakhr Eldin Elzahwi alisema timu ilihakikisha mafanikio ya kihistoria kwa michezo kwa kushikilia kilele cha wa bara la kiafrika ,na kushinda kwa medali tano za dhahabu ,idadi hii haihakikshwi na timu yetu kabla muda huu ,akiashiria kuwa wachezaji watatu walifikia Olimpiki ni Mohamed Abd Elmogod ,Ahmed Ali na Ramadn Drwish ,na Hatem Abd Alakher na Mohamed Mohi walikaribia kutoka kufikia kikao cha kiolompiki ,ili idadi za waliofika itakuwa wachezaji 5 kwa mara ya kawanza katika historia ya Shirikisho kuwa kufikia idadi hiyo kwa Olimpiki .
Comments