Waziri wa michezo ahakikisha vifaa vya ukumbi uliofunikwa katika mji mkuu wa kiutawala kabla ya uzinduzi wa kombe la dunia la mpira wa mikono


Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo ,siku ya Jumatano,alifanya ziara ya kukagua kwa ukumbi  uliofunikwa mjini mkuu mpya wa kiutawala ili kuhakikisha kutosheleza vifaa vyote na mahitaji katika ukumbi baada ya kumaliza kutoka kuanzisha kwake ili kuandaa kwa michuano ya dunia kwa mpira wa mkono inayokaribishwa na Misri mnamo Januari ijayo .


Ziara ya Waziri  ndani ya ukumbi ilijumuisha uwanja wa mpira ,nyanja za michezo ,kumbi,vyumba vya nguo ,na maeneo ya mazoezi iliyotekelezwa kufutana na vipimo vya kimataifa .


Baadaye,Waziri huyo alienda  kukagua mji wa kimchezo mjini mkuu wa kiutawala unaojumuisha mradi wa ukumbi uliofunikwa ,ziara hii inajumuisha ziara ya bwawa la kuogolea la kiolompiki ,nyanja za soka ,nyanja zingine ,maeneo yanayohusiana na watoto na familia , mkusanyiko wa Boga ,Jengo la kiutawala na kumbi za harakati .


Waziri alihakikisha maandalizi makubwa yanayoandaliwa katika ukumbi uliofanikwa mjini mkuu mwa kiutawala utakaokarbisha mashindano ya kombe la dunia kwa mpira wa mikono pamoja na kumbi zilizofunikwa katika uwanja wa Kairo ,Borg Alarab ,6 oktoba , akiashiria kufuata kila siku na kamati iandaayo kombe la dunia kwa maandalizi yote ya fainali na karibu na terehe ya michuano ili kuhakiksha ubora katika ukaribishaji, kufanikia taratibu na kuchukua hatua za kitahadhari wakati wa kupambana na Virusi vipya vya Corona .


Dokta Ashraf Sobhy alisistiza kuwa mji wa kimichezo mjini mkuu mwa kiutawala unazingatiwa moja ya ngome za kimchezo ambayo Misri inashuhudia mnamo wakati kisasa chini ya uongozi wa Rais Abd El Fatah El-Sisi, Rais wa Jamhuri , akiashiria utofauti wa huduma za kimichezo ,kijamii ,kiutamaduni na kiufundi zitakazotolewa na mji huo.


Comments