Timu ya taifa ya Hungari

 Kuelekea Misri 2021 : kushika  nafasi ya tisa kwenye Mashindano ya mataifa ya Ulaya 2020, pia timu ya taifa hii iliyojumishwa katika uamuzi wa kustahilisha wenye nafasi za juu , miongoni mwa timu zisiofikisha mashindano ya Mpira wa Mikono Duniani kwa Wanaume Misri 2021, baada ya kufuta fainali za mwisho za Ulaya .

Ushiriki wa awali : Ushiriki 20 wa kihungari, lakini bora zaidi ilikuwa mnamo 1986 wakati timu ya taifa ya Hungari ilimaliza mashindano katika nafasi ya pili .

 

Kocha : István Gulyás

 

Orodha ya wachezaji  

 

No

Majina ya wachezaji

33

Gábor Ancsin

26

Arián Andó

9

Zsolt Balogh

39

Richárd Bodó

24

Ádám Borbély

29

Bendegúz Bujdosó

27

Bence Bánhidi

7

Bendegúz Bóka

1

Dániel Bősz

15

Mátyás Győri

34

Marcell Gábor

77

Egon Hanusz

47

Péter Hornyák

32

Bence Hornyák

21

Zoran Ilic

6

Ádám Juhász

35

András Koncz

8

Péter Kovacsics

11

Patrik Ligetvári

5

Csaba Leimeter

66

Máté Lékai

16

Roland Mikler

23

Dominik Máthé

17

Bence Nagy

25

Rodriguez Alvarez

20

Miklós Rosta

2

Adrián Sipos

22

Stefan Sunajko

30

Zoltán Szita

12

Márton Székely

31

Bence Szűcs

3

Petar Topic

45

Dávid Ubornyák

4

Huba Vajda

28

Márton Varga

 

Lakabu : wahungari

 

Katika mashindano ya Dunia yaliyopita  mwaka 2019 yaliyofanyikwa huko Ujerumani na Denmark, timu ya taifa ya Hungari ilishika nafasi ya 10 . Matokeo bora zaidi ya timu ya taifa ya Hungari katika mashindano ya dunia ni wajati ilipata medali ya fedha katika mashindano yaliyofanyikwa mwaka1986  huko Uswizi, wakati timu ya taifa ya Hungari ilipoteza mechi ya fainali dhidi ya timu ya taifa ya  Yugoslavia Kwa matokeo 24-22,tangu terehe hiyo, timu ya taifa ya Hungari bado inahangaika kupata medali zingine.

 

Katika raundi ya 16 katika mashindano ya Ufaransa 2017, timu ya taifa ya Hungari ilifaulu kusindwa Bingwa wa olimpiki timu ya taifa ya Denmark katika Rio DE Janeiro mnamo 2016 kama mshangao mkubwa katika mashindano hayo .

Timu ya taifa ya Hungari ilianza ushiriki wake katika mashindano ya Dunia katika Ujerumani  na iliweza kupata nafasi ya 7 mnamo 1958.

Comments