Waziri wa michezo pamoja na Mwenyekiti wa Shirikisho la kimataifa la mpira wa mikono washuhudia kufikia kwa timu ya Japan kushiriki katika kombe la dunia




Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo na Dokta Hassan Mustafa Mwenyekiti wa Shirikisho la kimataifa la mpira wa mikono walishuhudia kufikia kwa timu ya Japan kwa Uwanja wa ndege wa Kairo ili kushiriki ndani ya mashindano ya michuano ya dunia kwa mpira wa mikono yanayoanza mnamo terehe ya 13 mwezi huu ,hiyo pamoja na shughuli nzito kwa hatua zote za kimatabibu na kitahadhari zinazowekwa miongoni mwa mpango wa usalama wa matukio na mashindano ya michuano ya dunia kwa mpira wa mikono .




Hatua za kufikia timu ya Japan zilishuhudia kufanya hatua zote kuanzia kituo cha kufikia katika Uwanja wa ndege na kupanda mabasi maalum kwa timu kuelekea mahali ya makazi bila ya kuchanganya .




Timu ya Japan ilifika mapema kuliko timu zingine ili kukaa mjini Kairo mnamo kipindi kijacho tangu kuanza kwa mashindano na hii ili kucheza mechi mbili za kirafiki na timu ya kimisri miongoni mwa maandalizi yanayohusiana na timu mbili ili kufanya mashindano ,inayopangwa kuwa kufikia timu ya Brazili mnamo siku zijazo ili kucheza mechi mbili za kirafiki pamoja na timu ya kimisri .






Kwa upande wake ,Dokta Ashraf Sobhy, Waziri huyo alisisitiza utiliaji umuhimu wake kufuata hatua zote juu ya awamu zote zinazohusiana na kufikia timu na harakati zake kati ya mahali pa kukaa ,kumbi za mazoezi kisha kufanya mashindano rasmi kwa kumbi kuu maalum na uwanja wa Kairo na mji mkuu wa kiutawala ,Oktoba 6 na Borg Al-arab .





Akiashiria kuwa utekelezaji wa kwanza wa hatua hizo pamoja na timu ya Japan ulikuwa wa kipekee na anasisitiza ushirikiano na pande zote na mashirika husika na kuwatilia umuhimu kutoka michuano kwa sura nzuri inayofaa nafasi ya Misri duniani, na miongoni mwa mashirika hayo ni sekta zote za uwanja wa kimataifa wa Kairo na wawakilishi wa Wizara ya Afya ya Misri pamoja na maandalizi yote yanayohusiana na michuano kutoka pande za uhamisho ,kumbi na mahali pa makazi .

Comments