Kuelekea Misri
2021: kushika nafasi ya nane katika mashindano ya mataifa ya Ulaya 2020.
Ushiriki wa awali : Timu ya taifa ya Kroatia
imeweza kushirikia mashindano ya kombe la Dunia kwa mara kumi na tatu ,na mashindano
muhimu Zaidi wakati ilishinda kombe la Dunia la mwaka 2003.
Kocha: Lino Červar
Orodha ya wachezaji
No. |
Majina ya wachezaji |
60 |
Matej Ašanin |
22 |
Josip Božić Pavletić |
34 |
Ilija Brozović |
1 |
Moreno Car |
33 |
Luka Cindric |
5 |
Domagoj Duvnjak |
38 |
Ante Gadža |
40 |
Nikola Grahovac |
13 |
Zlatko Horvat |
6 |
Matej Hrstić |
24 |
Šime Ivić |
45 |
Halil Jaganjac |
29 |
Lovro Jotić |
18 |
Igor Karačić |
69 |
Ante Kuduz |
30 |
Marko Mamić |
23 |
Stipe Mandalinić |
39 |
David Mandić |
3 |
Marino Marić |
51 |
Ivan Martinović |
36 |
Vlado Matanović |
2 |
Lovro Mihić |
28 |
Željko Musa |
94 |
Domagoj Pavlović |
12 |
Ivan Pešić |
50 |
Valentino Ravnić |
7 |
Luka Stepančić |
19 |
Josip Vekić |
27 |
Ivan Ćupić |
17 |
Josip Šarac |
55 |
Marin Šego |
31 |
Luka Šebetić |
53 |
Marin Šipić |
26 |
Manuel Štrlek |
35 |
Mate Šunjić |
Timu ya Kroatia ina historia ndefu zaidi
katika mashindano ya dunia tangu utengano kutoka Muungano wa Soviet,na timu ya
taifa ya Kroatia imejulikana kwa jina hili kwa mara ya kwanza mnamo 1995 katika
mashindano ya kombe,na imeweza kushika nafasi ya pili,tangu wakati huu
haikupoteza kamwe kutoka mashindano ya Dunia.
Timu ya Kroatia imeshinda kombe la dunia kwa
mara moja katika mwaka 2003 nchini Ureno. Na katika mashindano yaliyopita mwaka
2019,imeweza kupata nafasi ya sita.
Timu ya taifa itashirikia
kwa mara ya kumi na nne katika mashindano ya kombe la dunia hapa Misri2021.
Baada ya haijaweza
kuishindia Uhispania katika mechi ya mwisho.
Timu ya Kroatia imeshinda medali ya dhahabu
mara mbili katika michezo ya kiolimpiki mnamo 1996 2004.
Kocha Lino Červar anayeongoza timu ya Kroatia
anazingatiwa kocha mwenye ufanisi mkubwa kushinda wote katika historia ya mchezo
wa mpira wa mikono nchini Kroatia, Lino amerudi mara tena kwa
kuongoza Kroatia mwaka 2017,baada ya akaiongoza
zamani na kuweza kushinda kombe la dunia 2003,na taji ya michezo ya
kiolimpiki baada ya kupita mwaka moja.
Comments