Kuelekea Misri 2021
: Timu ya taifa
ya Japan ilishika nafasi ya tatu katika mashindano ya mataifa ya Asia mnamo
2020.
Ushiriki wa awali :
Timu ya taifa ya Japan ilishiriki mara 14 katika mashindano ya Dunia, na Timu
ya taifa ya Japan ilipata nafasi yake bora zaidi mnamo 1970, na ilikuwa nafasi
ya kumi.
Kocha : Dagur
Sigurðsson
Orodho ya wachezaji
No. |
Majina ya wachezaji |
15 |
Adam Yuki BAIG |
16 |
Akihito KAI |
23 |
Akio HASHIMOTO |
14 |
Asumi KITAZUME |
49 |
Goki KOSHIO |
24 |
Hiroki SHIDA |
25 |
Hiroki MOTOKI |
27 |
Hiroyasu TAMAKAWA |
20 |
Jin WATANABE |
2 |
Keisuke MATSUURA |
13 |
Kenya KASAHARA |
18 |
Kohei NARITA |
18 |
kotaro MIZUMACHI |
42 |
Motoki OZAWA |
5 |
Motoki SAKAI |
10 |
Naoki SUGIOKA |
21 |
Remi Anri DOI |
36 |
Naotsugu DEMURA |
19 |
Rennosuke TOKUDA |
29 |
Ryusei OKAMOTO |
6 |
Ryuto INAGE |
19 |
Shinnosuke TOKUDA |
48 |
Shinya YAMADA |
5 |
Shoichiro SAKAI |
47 |
Shota TAKAMORI |
43 |
Shuichi YOSHIDA |
40 |
Sota TAKANO |
39 |
Takumi NAKAMURA |
31 |
Tatsuki YOSHINO |
17 |
Yuki YOSHIDA |
26 |
Yuki KUBO |
3 |
Yukihiro SHIBAYAMA |
12 |
Yuta IWASHITA |
28 |
Yutaro KAWASHIMA |
33 |
Yuto AGARIE |
Lakabu : Wapiganaji
wa Samurai
Timu ya taifa ya
Japan iliposhinda mnamo 2013 nafasi ya kuandaa kwa michezo ya Olimpiki huko Tokyo mnamo 2021,
Shirikisho la Japan limeanza mpango wake ili kuwa na timu mbili za wanaume na
wanawake watashindana kwa nguvu katika nchi yao, na lilisaini mkataba na kocha
wa Uhispania (Carlos Antonio Ortega), lakini hayakuachana, na kisha lilisaini
mkataba na ( Dagur Sigurðsson ).
Timu ya taifa ya Japan
ilionekana kwa mara ya kwanza katika mashindano ya Dunia mnamo1961 katika nchi
ya Ujerumani magharibi, na ilikuwa ikishika nafasi ya 12 ya mwisho, Timu ya
taifa ya Japan imepoteza mnamo miaka ya 1986,1993,1999,2001,2003,2007,2009,2013
na 2015, katika mashindano yaliyopita mnamo 2019, Timu ya taifa ya Japan ilishika nafasi ya 24
ya mwisho katika utaratibu wa mwisho.
Basi,Wajapan
watafanya nini katika mashindano wa Misri?
Comments