Sheriff Ismail anatembelea viwanja vya Aleksandria kabla ya kuvipeleka Kwa “ KAF”

Mhandisi Sharif Ismail, Msaidizi wa Rais wa Jamhuri kwa Miradi ya kitaifa na kimikakati, alitembelea mji wa Aleksandria ili hakikisha toka utayari wa mji ili kukaribisha mechi za Kombe la Mataifa ya Afrika. na mji wa Aleksandaria unajumuisha

Mechi za kundi la pili kutoka michuano ya kibara  linalojumisha timu za  : (Nigeria - Geunia - Madagascar - Burundi)  .

 

  Mohamed Fadl, Mkurugenzi wa michuano ya  Kombe la Mataifa ya kiafrika, na Amer Hussein rais wa kundi la pili wamesindikiza Sheriff Ismail wakati wa ziara hiyo ambapo ilijumuisha kufuatilia kazi ya hivi karibuni kwenye uwanja wa michezo na uwanja wa mafunzo kabla ya kuupeleka kwa “ KAF "

Comments